Tangu mwezi uliopita nywele za mbele zimeanza kuwa chache. Naomba kujuzwa mafuta au dawa itakayonisaidia

From experience hizo nywele unazi kirimu..

Acha Mara moja kuzikirimu (kuzipolishi) izo nywele zitakaa sawa..
 
Unahangaika tu kaka, kama kipo kwenye, Genes zenu hata ufanye nini kitakuja tu

Na usijiroge kuanza kuvaa kofia maana hapo ndipo kitaongezeka maradufu

Naelewa hizo ni insecurities tu za mwanzoni maana issue kubwa hata sio kichwa ila unaona ujana utakupita. Na kweli utakupita ila jikubali tu. Watu baada ya muda watakuzoea
 
Sababu chache ambazo zinaweza kua ndio sababu kuu za kupoteza nywele Hair loss,

  1. Stress,punguza fikra kwa kufikiri sana,pia kuna baadhi ya magonjwa husababisha hair loss,
  2. Vitamin deficiency,Nutrition deficiences zinaweza pia kusababisha hair loss,kama vile upungufu wa madini ya chuma ,
  3. Thyroid disease,huu ugonjwa husababisha your tyroid to make either too much or too little of the harmones,
  4. Hormone imbalance,
  5. Matumizi ya madawa ya matibabu Pharmaceutical drug,
  6. Ageing Umri,
  7. Alopecia areata,hii hutokea pale the immune system attacks hair follicles na kusababisha hair loss,
  8. Chemotherapy,matibabu ya cancer ambayo hutumika njia ya kudestroy cancer cells na kuzuwia tumor growth,
  9. Genetic
  10. Birth control pills,
  11. Cancer
  12. Diet
  13. Infection....

Ili kuzuwia nywele zako zisiendelee kupotea,fanya haya,

  1. Fanya massage ya kichwa Sculp massage
  2. Usafi wa kichwa care of ur scalp
  3. Punguza stress
  4. Punguza uvutaji sigara au acha kabisa
  5. Diet,jaribu kula balanced diet,
  6. Tumia essential oils,hii husaidia kubust hair growth,unapopakaa hakikisha unasugua kichwa Scalp
  7. Tumia multivitamins,
  8. Kula sana ptotein,
  9. linda nywele zako kupatwa na heat kwa muda mrefu,
  10. Tumia mafuta ya nazi pia kwa kusugua kwenye kichwa husaidia kuzifanya nywele kua imara zaidi
 
Mkuu kumbe kwenye hii field upo vizuri 👏🏾

Ila asisahau kutoacha nywele ikiwa kavu sana muda mrefu maana huwa inakatika
 
Ahsante mkuu kwa mawazo yako
 
Shukran sana kiongoz nimekuelewa vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…