Tangu mwezi uliopita nywele za mbele zimeanza kuwa chache. Naomba kujuzwa mafuta au dawa itakayonisaidia


Nilidhan za mbele CHINI kumbe juu
 

Huku nacheka huku nakuonea huruma, dah aisee kipara kimegeuza mfumo wote wa maisha yako. Ila kwa wengine mbona sioni hiki kuwakosesha marafiki mademu na kujichanganya? Inaonekana mapokezi yako yalikuwa kwa mshtuko na hukua unawaza kuna siku waweza kupata upara...
 
Mkuu ,, kiliana kutamadadi hasa nikiwa chuo mwaka wa wapili,, kila niliopeenda ungesikia mtu akiniambia


" eehh afu we jamaa uwalaza unakujia kwa kasi sana ,,,"

kauli hizi zilipelekea nikose raha na nianze kuangaika nacho ... Bila ya matumaini yoyote ...

Nilipotoka chuo na kuingia mtaani ,,, huku ndiyo nilikutana na balaa ,, mtu akiona unamzidia kwa hoja basi anakuattack juu ya vile unavyoonekana ,, kama
Ujuavyo wengine ugomvi hatupendi
Unaamua tu kutafuta solution ya kudumu .. na kuamua kuishi kivyako vyako ,,, unatoka mishe mishe ndani ,, a circle of only few friends ambao mnaheshimiana ,, hivyo maisha yanakuwa burudani kabisaa
 
Tobaa 🫒 🫒 🫒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…