Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Wakuu habari za majukumu nina ombwa kujuzwa kama kuna mafuta au dawa yoyote inayoweza kujaza nywele kichwani.
Mimi ni kajana wa miaka 24+ ila naona kuanzia mwezi uliopita kama nywele za mbele zimeanza kuwa chache sasa sijui shida nini yani nikiangalia nywele za kuanzia robo tatu ya kichwa kurudi nyuma ni nyingi kuliko robo iliyobaki yani nywe za mbele nichache wakati nilizinyoa kwa pamoja. So nilikuwa naomba kama kuna mafuta au dawa yanayoweza kunisaidia kukuza na kujaza nywele naombeni mnijuze.
Na kama ni dalili za upara naombeni mnijuze nini cha kufanya kuepukana na adha hiyo aisee wengine sisi tuna vichwa virefu kama treni tukinyoa madongo itakuwa vituko yani huo muonekanl wetu utatisha naombeni msaada ndugu zangu.