Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
- #21
Mimi sina ngoma mkuuSikiliza huu Wimbo
Mwana FA ft Jay dee - Alikufa kwa ngoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sina ngoma mkuuSikiliza huu Wimbo
Mwana FA ft Jay dee - Alikufa kwa ngoma
KAka na kichwa hiki kunyoa dongo itakuwa hatariBadili style ya kunyoa ni dongo tu sasa,,,au kama una kijieneo ,andaa sauti na ufungue kanisa.
Shalom mtumishi
unavoita kaka hapo umeona mr au ms?KAka na kichwa hiki kunyoa dongo itakuwa hatari
Mkuu na huwa inachukua muda gani kuongezeka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwishaaa habari yako ..
Oky ,, hicho ni kipara mkuu
Sasa hicho huwa hakikubari
Kushindwa kabisaa,, yaani
Kadri unavyozidi kupambana
Nacho ndiyo kinavyoongezeka
Mimi kilianza miaka 22 tu ngoma
Nyuma ya kisogo ilikuwa inang'aa
Si mchezo ,, afu enzi hizo kiduku
Ndiyo kimeingia , aisee niliumia sana
Nilijaribu kuzibembeleza nywele lakin
wapi ,, ukweli nilikuwa nakichukia sana
Sasa hatua zipi nilizichukua ..
1)Nilikubali matokea kuwa ninacho
ni changu ,, hakuna namna nitafanya
Kitoke ,,lakin kwasababu nywele zime-
goma kuota ,, basi sikuzitaka tena
Kichwani mwangu ( nilizisusa nywele)
Ilikuwa ni mwendo wa upara tuu ,,
2) nilinunua homecutting mashine
Kama nilivyosema hapo juu niliamua
ni mwendo wa dongo tuu, lakini sasa
Ningetimizavipi hili? Kunyoa kila baada ya siku 3 ,je gharama zake
ningeweza ?? ,,, Jibu hapana ,, sasa
wazo likanijia nikanunua mashine
yangu ,, niwe najinyoa mwenyewe tu
gheto ,, mwanzoni nilikuwa najikosea
mara kadhaa ningenyoa na kuacha
nywele kichogoni,, watu walinishanga
a sana na kuniuliza '' mmea kinyozi gani
huyu kakunyoa ??"
Sikujali sana walipo niuliza, kuliko
kukiacha kipara kile kionekane ,, kwangu ilikuwa ni maumivu makubwa
ila baadae niliweza ,, hivyo na wewe
ukiwa na nia utaweza tu ,, hakuna
Linaloshindikana
MATOKEO
1) kidogo ,, confidence iliweza kurudi
sasa nilianza kujiamini ,,ilipita hata
siku 3 au 4 ,, bila kujiangalia kwenye
Kioo,,
2) Nilianza kupata totoz ,, zilizonipenda kwa vile nilivyokuwa naonekana ,, ili
Kunogesha zaidi ,, nilikuwa napigili
Suti wanasheria wakasome plus
miwani juu michomekeo ,, yani most of the time ,, nilijiweka kiofisi ofisi japo ni jobless ..
3) ilibidi nijitenge fulani hivi na wana ,,
Siunajua tena mkuu kipara soo ,,
Mkipishana na mtu kwa hoja kidogo
Tu utasikia jamaa ana sema
" Msikilizeni naye huyu ,,, kipara kikubw
nikajua anaakili kumbe hamna kitu"🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ukweli ,, kauli hizi hazivumiliki ,, lakn
nilikuwa najitahidi kutokuonesha kwa
Kujifanya kila kitu kipo fine but deep in
Side my heart, i was bleeding and crying ,, na pindi
nilipotoka hapo ,, nilihakikisha huyo
Mtu siji kuwa naye karibu kwa namna
yoyote ile ,, mtindo huu wa maisha
umenifanya niwe na marafiki wacha-
che mnoo ,, pengine ndiyo maana
Nipo humu jamiifurum leo .
4) umri uliposegea kidogo ,, Kweli ilikuwa kazi sana kupata totozi ,, maana nyingi ,, ziliponingalia vzr ,, ziliniambia
"ujue wewe unaonekana mkubwa san" na hata sikujisumbua kujielezea ,, nilijua ni kipara nilichonacho ndiyo ,, kinapelekea wanaione hivyo
Halii hii ilipelekea nianze kuwa muongo
Ndiyo ,, nilidanganya sana juu ya umri
Wangu ,,. Kupata mwanamke nilianza kutumia nguvu kidogo kama vile pesa
na hata nilipokubaliwa sikudumu kwenye hayo mahusiano ,, maana nilijua fika muonekano wangu hauja
Mvutia muhusika
na pindi nilipofikiria sana juu
ya future yangu hasa ,kimahusiano ,,
Nikaona nione tu ..
Mwisho kabisa ,,, jamii za kiafrica ,, kipara kwao ni ishara ya uzee ,, hivyo inabidi upiganishe sana uweke mambo sawa ,, nje na hapo unaweza kujikuta unakufa kwa sonona au unamkufuru mwenyezi mungu kwa
namna alivyokuumba .
1 Year kitakuwa kimetamalakiMkuu na huwa inachukua muda gani kuongezeka
Nilitaka nipate feedback kutoka kwake maana namimi naona dalili sio nzr1 Year kitakuwa kimetamalaki
Kuchona nywele ndo kunamaliza nywele kiasi hiko mkuuWakuu habari za majukumu nina ombwa kujuzwa kama kuna mafuta au dawa yoyote inayoweza kujaza nywele kichwani.
Mimi ni kajana wa miaka 24+ ila naona kuanzia mwezi uliopita kama nywele za mbele zimeanza kuwa chache sasa sijui shida nini yani nikiangalia nywele za kuanzia robo tatu ya kichwa kurudi nyuma ni nyingi kuliko robo iliyobaki yani nywe za mbele nichache wakati nilizinyoa kwa pamoja. So nilikuwa naomba kama kuna mafuta au dawa yanayoweza kunisaidia kukuza na kujaza nywele naombeni mnijuze.
Na kama ni dalili za upara naombeni mnijuze nini cha kufanya kuepukana na adha hiyo aisee wengine sisi tuna vichwa virefu kama treni tukinyoa madongo itakuwa vituko yani huo muonekanl wetu utatisha naombeni msaada ndugu zangu.
View attachment 3052729
Kuna watu wanashauri nianze kupaka mafuta ya mnyonyo nitakaa sawa ila sina uhakika na hili1 Year kitakuwa kimetamalaki
Sasa kuchonga nywele kuna malizaje mpaka za mbele hapoKuchona nywele ndo kunamaliza nywele kiasi hiko mkuu
Nb:acha kuchonga nywele hizoo
Kuna watu maisha yote wanachonga nywele na bado zipo😁.Sasa kuchonga nywele kuna malizaje mpaka za mbele hapo
Daah qumamake na hichi kichwa changu kilivyo kirefu kama basi ntaanzaje kuishi na kipara ngoto mkuu hapana ngoja nianze kupambana nacho mapema kwakweli ntakuwa kitukoKuna watu maisha yote wanachonga nywele na bado zipo😁.
Sababu ni nyingi ila upara haunaga sababu za nje,ni ndani ndio shida huanza
MKuu kuwa na kipara ndio kitu nisichokipenda kabisaushauri tu ukiwa na kipara jitahidi kuuzulia Gym kuwa na ule muonekano wa mazoezi kufua six park flan iv baada ya mdaa utaonekana kama model kuthibitisha hili nenda google angalia wenzako wenye vipara wanao shinda Gym wanaonekana watanashati zaidi kuliko hata wenye nywele nyingi kama Bob Marley 🤝
wewe sio special hapa Duniani wa kuji amlia vituMKuu kuwa na kipara ndio kitu nisichokipenda kabisa
Hujawahi kuona watu wenye kichwa kama chako na wana upara ?Daah qumamake na hichi kichwa changu kilivyo kirefu kama basi ntaanzaje kuishi na kipara ngoto mkuu hapana ngoja nianze kupambana nacho mapema kwakweli ntakuwa kituko
Sawa mkuu hakuna jinsiHujawahi kuona watu wenye kichwa kama chako na wana upara ?
Kama umewaona basi jua tu na wewe utaishi freshi tu
Ila we ulieitwa kaka 😂unavoita kaka hapo umeona mr au ms?
na kichwa ni kikubwa kwel