chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Ama kweli duniani hakuna mwembamba, Bill Nass tangu aanze kupiga mboga saba(msosi kama anasukuma kete za drafti) kwanza kunenepa, hakuna mwembamba dunia hii.
Kamanda ana kazi ya kulala na kushika rimoti, bibie ana nyota ya Uingereza hata akishika jiwe linakuwa dhahabu.
Hongera Nandy kwa kuanza ufugaji
Kamanda ana kazi ya kulala na kushika rimoti, bibie ana nyota ya Uingereza hata akishika jiwe linakuwa dhahabu.
Hongera Nandy kwa kuanza ufugaji