Tangu Nandy aanze kumlisha Bill Nass, Bill Nass kaanza kunenepa

Sasa huoni kama unamtia nuksi msichana wa watu!
Mwishowe asiolewe maana kwa upupu huu wa maneno, wanaume wanaacha kuoa kisa maneno yenu machafu kuogopa kusemwa.
 
Asuse kisa maneno, hapo mbona atakuwa boya.
 
Hakuna mchaga boya mwacheni mjukuu wa Lymo ajinenepee mwanzo alipuacha mlisema Nenga ni mibangi leo
 
Sasa huoni kama unamtia nuksi msichana wa watu!
Mwishowe asiolewe maana kwa upupu huu wa maneno, wanaume wanaacha kuoa kisa maneno yenu machafu kuogopa kusemwa.
Weee umeona kuna ndoa pale? Mama mkwe mwenyewe alisema habari ya ndoa kwa mwanae bado saaaana!
 
Hata nandy kanenepa nae si haba. Itakua dawa zimewakubali.
Daaa maisha haya, kutoka katoka na katolewa haswa kumbe majuto, mtoto bado mdogo, huyu bwana kutaka mtelemko kajirudisha, udaku wa zamani walikuwa hawajajua boss aliwaka yule.
 
Maisha yenyewe mafupi Acha Ale maisha bwana kwani ukimwi kitu gani mbona watu wanaishi nao tuu... watu wamehassle mpaka wanazeeka na kuwaka wamewaka na hizo hela za nandy hawajashika
maana unaweza ukapata ukimwi kwa mtu ambae hana kitu ukabaki na maradhi na hela huna!
Maisha yenyewe haya ya uchumi wa kati wa kwenye Media huko na kwenye takwimu?!! Ukipata mteremko unashuka nao tuu hayo mambo yakuungua ni Ajali kazini!
 
Mfano wewe au Mimi unajua kabisa yule mgonjwa kwakua boss unamkubari, wengi wao wanakuwa hawajua unakuja kujua tayar .umeingia kingi, kwa upande wako hupo sawa sija kupinga , na sipo kupinga maneno ya mtu.
 
Back
Top Bottom