Tangu niache tungi, washkaji zangu nao wamenikimbia hawanipi dili kama zamani

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,073
Reaction score
16,638
Kama miezi sita hivi imepita tangu niache tungi.

Washkaji zangu dizaini fulani hivi kama wananikataa, ukaribu na mimi umepungua, michongo ya fedha hawanipi tena kama zamani.

Nafanyaje hapa kurudisha ukaribu na hawa jamaa zangu nipate madili?
 
Washkaji zangu dizaini flani hivi kama wananikataa,ukaribu na mimi umepungua,michongo ya fweza hawanipi tena kama zamani.

Uwe unaenda kukaa nao , unawapiga mbili tatu .. Uwepo wako muhimu , deal ni pale mnaonana onana
 
Kama miezi sita hivi imepita tangu niache tungi.
Washkaji zangu dizaini flani hivi kama wananikataa,ukaribu na mimi umepungua,michongo ya fweza hawanipi tena kama zamani.
Nafanyaje hapa kurudisha ukaribu na hawa jamaa zangu nipate madili?
Ungetupa kwanza na sababu ya kueleweka ya kwanini uliacha pombe halafu ndo tukupe solution
 
The bird of a feather flock together.Hapo ni vema utafute kijiwe cha bao,draft au gahwa ili muendane.Mwisho kabisa,tafuta kwaya nzuuuri ujiunge nayo au tafuta spika kubwa na mic yake uanze kutupiga injili mkuu.Hakika mbingu zitafunguka.
 
Nipe faida moja kwanza ya kufa ukiwa na health figo au ini liwe zima
Mtu ambaye mpaka mauti yanamkuta akiwa na afya yake anaweza kua sawa na mtu aliyeteseka kwa ugonjwa wa figo kabla ya kifo chake?

Usifanya mzaha kwenye maradhi coz kuna watu wanateseka,
usijione kua leo hii una afya yako kisha ukadhihaki maradhi.
 
Kweli ndo bia 2 akinywa nao ataugua figo?
 
Tungi ni moja ya chanzo cha madili maishani ili upate muendelee kukata. Mimi tungi kuacha labda wafunge viwanda vyote duniani lakin hivi hakuna. Tungi unaweza ukamkuta mtu bar ukampa ofa ya bia mbili ukashangaa after kufahamiana akakupa dili noono. Pumzka kwanza afu urudi michongo utapewa tu
 
Kama miezi sita hivi imepita tangu niache tungi.

Washkaji zangu dizaini fulani hivi kama wananikataa, ukaribu na mimi umepungua, michongo ya fedha hawanipi tena kama zamani.

Nafanyaje hapa kurudisha ukaribu na hawa jamaa zangu nipate madili?
Hiyo ni kawaida,Ndege wasiofanana hawaruki pamoja

Live your life Man.
 
Back
Top Bottom