Tangu niache tungi, washkaji zangu nao wamenikimbia hawanipi dili kama zamani

Ndege wafananao huruka pamoja
Nenda kajiunge kwaya waache wenzio
Unataka mundelee kujumuika pamoja
Wenzio huku wanaagiza bia we unaagiza ukwaju et
 
Sasa,ajidai anaendelea kunywa uji asikusikilize vizuri.Umempa urithi bila ya yeye kujua.
 
Sasa,ajidai anaendelea kunywa uji asikusikilize vizuri.Umempa urithi bila ya yeye kujua.
mda mwingne tuwe tunaambiana ukweli. Hakuna cku mtu ataenda mkutano wa ccm au chadema apate madili. Lakin ingia bar ukutane na watu mfahamiane lazima akupe mchongo akijua kwamba ukipata lazma utamuitia hata bia kadhaa. Na hata madereva wengi ndio maana wanapark bar. Kitu cha kwanza walevi wanaaminiana sasa ingia pale uagize mafanta yako ukae nao utaskia wakisema unawachora walewe uwaibie. Siku moja nimeenda tarime nkaingia sehem kula kuku na ndizi bia zikaja kuchangamka nkafahamiana na jamaa mmoja tukajuana hapo baani. After nimerudi toka hiyo safari jamaa kanitafuta akanipa dili nimtumie spare flan ya gari lake na kweli nkamtaftia akatuma hela nkamtumia akanipa ya maji tangu cku hiyo ananipa madili meni pamoja na marafk zake. Sasa kanisan lin utapata dili pale ni kuimba cheza makelele za haleluya toa sadaka ondoka na amina zako rudi home kazi kwisha.
 
Kama miezi sita hivi imepita tangu niache tungi.

Washkaji zangu dizaini fulani hivi kama wananikataa, ukaribu na mimi umepungua, michongo ya fedha hawanipi tena kama zamani.

Nafanyaje hapa kurudisha ukaribu na hawa jamaa zangu nipate madili?
Umempumzika hadi bado unasema neno tungi!
 
Kama miezi sita hivi imepita tangu niache tungi.

Washkaji zangu dizaini fulani hivi kama wananikataa, ukaribu na mimi umepungua, michongo ya fedha hawanipi tena kama zamani.

Nafanyaje hapa kurudisha ukaribu na hawa jamaa zangu nipate madili?
Utarudia tena pombe wewe unakoelekea... Every decision comes at a cost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…