Tangu nianze kutumia JF sikuwahi kununua gazeti

Munguwetu

Member
Joined
Dec 13, 2022
Posts
87
Reaction score
80
Ndio hivyo.



Napata habari za siasa.
Napata habari za sports.

Napata habari udaku.
Napata habari za umbea gossip.
Napata habari zaidi ya kwenye magazeti.


Tena news ambazo ni hotnews
 
Kuna makala na habari zingine haziletwi mitandaoni, zinapatikana magazetini. Kwa hiyo magazeti bado yanahitajika kununuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…