Mbwichichi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 297
- 1,687
Mimi Mbwichichi nafahamika na baadhi ya watu humu kutokana na historia yangu ya upambanaji katika kutafuta riziki.
Kwa miaka mingi sana nimekua napambana kupata pesa,lakini hustle nyingi za wakati huo zilikua za kupata pesa ya mboga tu…lakini nilikua nina tamaa ya kupata kila kitu,gheto kwangu kulikua na kila kitu ambacho kijana anatakiwa kuwa nacho lakini ilikua inaniacha nikiwa sina hata pesa ya akiba…kuna wakati nilikua nalazimika hadi kukopa nauli ya kwendea kazini au nalazimika kutembea kwa miguu.
Ilikua kazini unaenda kukopa pesa hata shilingi 2000 ili familia iweze kuweka kitu tumboni.
Mungu si athumani…..nimefanikiwa kupata kile ambacho nilikua nakipambania,sasa hivi alhamdullilah naweza pata kila ninachotana.
Lakini sasa habari imekua tofauti…..nimekua bahili mno,huwezi amini siwezi hata kujinunulia nguo zangu,ninazovaa ni chache na zimeshazoeleka saaaana….naweza ondoka home kwenda dukani na ninaishia kununua maji ya kunywa halafu nageuka nyumbani.
Siwezi tena kununua zile luxuries kama zamani….nawaza kutoa 1m kwa ajili ya kununua TV wakati ninayo tayari ila outdated kidogo.
Yaani pesa inaniuma vibaya mno…napenda tu kuona ikizungua ile jioni kuletewa mauzo na kudeposit na kuzitoa benk,hiyo tu unatosha kunipa furaha.
Je hii ni kawaida?