My intek
1. Asilimia 90% ya watu tuliopitia uchumi duni au familia duni njia moja wapo ya kupata mafanikio nipamoja na kuwa na tabia inayoitwa Frugal (soma kitabu kinaitwa the millionare next door utanielewa)
Sifa ya Frugal person nipamoja na ubahiri, kuacha tabia ya shopaholic (kununua vitu hovyo) na kuishi maisha ya low key (kuacha show off na usiri).
2. Kutunza akiba ni mojawapo ya sifa ya mtu anayeiendea njia moja wapo ya kupata mafanikio lakini endapo tu atafanikiwa kufanya akiba aliyoihifadhi kumzalishia pesa hata kama ni kidogo. (Soma kitabu cha the richest person in Babloyn itakusaidia ukisoma 7 que zake)
3. Kutokula hovyo hovyo hii tabia itakusaidia sana kiafya hata pia katika matumizi ya kawaida na kupata muda wa kutafakari zaidi issue zako ( wanao kula sana wanatabia ya kupoteza muda mwingi usingizini, hosipitali kutibu magonjwa nyemelezi na maliwato kupunguza unwanted /waste materials)
last note
Usiombe sana ushauri wa fedha kwetu sisi ambao hatujatoboa bado, tafuta kundi la watu waliotoboa wanamawazo mazuri ya kifedha yanayoweza kukusaidia maana ndani yako unachembechembe za utajiri.
Create hobby inayoweza kukusaidia kukutana na matajiri kirahisi kwa mafanikio zaidi
Regards
Miguel