Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kwahiyo niwagawie vijana muichakaze?H n dharau mkuu, usiseme hvy mbele ya umma 😔
Kwahiyo niwagawie vijana muichakaze?H n dharau mkuu, usiseme hvy mbele ya umma 😔
Siku nyingi mbwa wamekulaChenyewe kipo basi au kilikeketwa?
Wewe ndoa yako unahudumia sangapi?Siku nyingi mbwa wamekula
Gawa kiustaarabu mana sio vijana wote n wa ovyoKwahiyo niwagawie vijana muichakaze?
Msikilize mwenzio anataka ule mchezo wa kusugilisha makojoleo 😅 😅 😅 😅Kazi ipo🥴
Ndio mida hii! Nasubiri kibaka wangu atoke kazini..Wewe ndoa yako unahudumia sangapi?
Mimi mwenyewe bado nakapenda mkuu😎Gawa kiustaarabu mana sio vijana wote n wa ovyo
Hapana hii michezo sifanyi!Msikilize mwenzio anataka ule mchezo wa kusugilisha makojoleo 😅 😅 😅 😅
Kama unakapenda bc kape chakula yake nayo ishibeMimi mwenyewe bado nakapenda mkuu😎
Kameshiba vizuri, nikianza hii mizaha katanyauka!😊Kama unakapenda bc kape chakula yake nayo ishibe
Ulikuwa unanipa ushauri haya Leo kwako 🤣🤣🤣🤣Hapana hii michezo sifanyi!
Hivi nimekupa ushauri gani leo duhh hata sikumbuki🤭Ulikuwa unanipa ushauri haya Leo kwako 🤣🤣🤣🤣
Nawewe mubaba wako anavaa mabuti makubwaNdio mida hii! Nasubiri kibaka wangu atoke kazini..
Wala sio Leo ila leo wewe msikilize mwenzio sasaHivi nimekupa ushauri gani leo duhh hata sikumbuki🤭
AiseeTangu nijiunge na Jf nimekuwa nikivutiwa sana na wewe
1.Vituko vyako
2.Kujiamini kwako
3.Tabasamu lako😁
4.Wa kishua(umekaa kimjinimjini)
5.Hutaki nginjangija(unajikubali sana)
6.Avatar yako unaonekana ni bonge la totoz na hizo nywele zako za asili nyeusi tiiii
7.Kiukweli usipocomment chochote jf siku yangu inakuwa mbaya sana
8.Nimeamua kuwa mkweli maana kuna mabinti wamenifata PM labda niwaambie tu jamani moyo wangu upo kwa Seran nisiwapotezee muda mtapata wanaowapenda
9.Nitatumia gharama yoyote kumpata Seran
10.Nitamlinda Seran kwa gharama yeyote najua mtamuonea wivu ila niwahakikishie amepata mtu wasahihi
Welcoming!!!!!!!!!
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Chakula yake c unaijua lkn? 😎Kameshiba vizuri, nikianza hii mizaha katanyauka!😊
Ili ashindwe kukimbia muda kukimbizwa na raia?Nawewe mubaba wako anavaa mabuti makubwa
Nakusikiliza wewe! Mwenzangu namtoa wapi sasa!Wala sio Leo ila leo wewe msikilize mwenzio sasa
Imeshiba ndo nishakwambia!Chakula yake c unaijua lkn? 😎