Tangu nilipoanza kumfahamu gwaji sijui kwa nini Mimi nilimchukulia kama tapeli wa kisiasa

Joined
Apr 15, 2025
Posts
71
Reaction score
38
Tangu nilipoanza kumfahamu gwaji sijui kwa nini Mimi nilimchukulia kama tapeli la kutupwa na nilishangaa kupata ubunge na vyeo kwenye chama, ila Sasa imejiridhisha kumbe hisia zangu zilikuwa sawa.
 
Ungekosoa alioyasema kwenye press conference yake ambyo ameifanya kama raia.
 
Tangu nilipoanza kumfahamu gwaji sijui kwa nini Mimi nilimchukulia kama tapeli la kutupwa na nilishangaa kupata ubunge na vyeo kwenye chama, ila Sasa imejidhihosha na kumbe hisia zangu zilikuwa sawa.
Atakupa pesa ambayo alikuahidi.ila nawe anasema ulimtapeli hakukuta upo tight kama ambavyo ulisema kuwa kipapiro chako kipo tight. Ndo maana akaona asikupe yote. Sasa stick to Makalla.
 
Tangu nilipoanza kumfahamu gwaji sijui kwa nini Mimi nilimchukulia kama tapeli la kutupwa na nilishangaa kupata ubunge na vyeo kwenye chama, ila Sasa imejidhihosha na kumbe hisia zangu zilikuwa sawa.
Use macho ni kweli tupu. Ngoja uone watakavyomshukia na kumshughulikia
 
Tangu nilipoanza kumfahamu gwaji sijui kwa nini Mimi nilimchukulia kama tapeli la kutupwa na nilishangaa kupata ubunge na vyeo kwenye chama, ila Sasa imejidhihosha na kumbe hisia zangu zilikuwa sawa.
Elimu yako ya Juu ni ngazi gan?.

Na umeipatia Wapi?.
 
Tangu nilipoanza kumfahamu gwaji sijui kwa nini Mimi nilimchukulia kama tapeli la kutupwa na nilishangaa kupata ubunge na vyeo kwenye chama, ila Sasa imejidhihosha na kumbe hisia zangu zilikuwa sawa.
CCM sasa ndio wamegeuka kuwa matapeli wa kisiasa
 
Na bado, ngoja aitishe press nyingine, safari hii alisema atamwaga kila kitu hadharani, uzuri yule hana njaa! Hawezi kununulika ama kunyamazishwa kwa ahadi uchwara za udiisii
 
Tangu nilipoanza kumfahamu gwaji sijui kwa nini Mimi nilimchukulia kama tapeli la kutupwa na nilishangaa kupata ubunge na vyeo kwenye chama, ila Sasa imejiridhisha kumbe hisia zangu zilikuwa sawa.
Chawa kazini
 
Gwajima atubu dhambi ya kushinda Ubunge kwa kura za wizi kwanza
 
Tangu nilipoanza kumfahamu gwaji sijui kwa nini Mimi nilimchukulia kama tapeli la kutupwa na nilishangaa kupata ubunge na vyeo kwenye chama, ila Sasa imejiridhisha kumbe hisia zangu zilikuwa sawa.
Kwahiyo ccm inawapa vyeo matapeli? Basi hicho ni chama cha matapeli.
Unaweza kututajia kiongozi yyte hapo lumumba ambaye siyo tapel??
 
Tangu nilipoanza kumfahamu gwaji sijui kwa nini Mimi nilimchukulia kama tapeli la kutupwa na nilishangaa kupata ubunge na vyeo kwenye chama, ila Sasa imejiridhisha kumbe hisia zangu zilikuwa sawa.
Na yeye hata hajui kama kuna shoga anamchukulia tapeli wa siasa
 
Tangu nilipoanza kumfahamu gwaji sijui kwa nini Mimi nilimchukulia kama tapeli la kutupwa na nilishangaa kupata ubunge na vyeo kwenye chama, ila Sasa imejiridhisha kumbe hisia zangu zilikuwa sawa.
Lakin bado hujajibu hoja. ID Mpya nayo inaonyesha ni wale wale vijana wa hovyo. So personal expierince yako bado haimchafui gwajima
 
Back
Top Bottom