asubuhi sana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 1,667
- 1,411
Usirudie tena...!
nimekuelewa mno yaani, asante sana!kwanza nikupongeze kwa dhati kuamua jambo jema!
lakini naomba nitumie ukurasa huu kutoa darasa,
YAPO MAZOEZI YA KUONGEZA UZITO NA PIA YAPO YA KUUNGUZA UZITO Mimi nafikiri tatizo lako hujafaham, yaani unaunguza na kuongeza pasipo kujua
mazoezi ya kupunguza UZITO ni kama kukimbia, kuruka kamba, kuogelea n.k
na mazoezi ya kuongeza ni kama ngumi,masumbwi,push up, kufanya mapenz n.k
kwa maelezo yako YAPO juu ni dhahili utakuwa unachanganya mazoezi,
pia inashauriliwa epuka kuvaa headphones wakati Wa mazoezi, inatamkwa mazoezi mazuri ni Yale ysnayofanyika ubongo ukiwa free kwa maana ya kufanya mazoezi tu
well notedpia kuweni makini na mizani mingine mibovu itawavuruga; tumieni mizani iliyohskikiwa, hususani ile ya kwenye magodown ni mizuri zaidi
mwenzenu tangu nianze jogging nakimbia km takibani kumi kila week, na push-up 200 kila siku, cha ajabu kilo badala zipungue ndo zinazidi; sielewi nkosea wapi, stumii supu, bia wala soda na chakula changu kikubwa ni ugali Wa dona .
malengo yangu nataka zipungue!
asante ngoja nijaribumie nakushauri tu,hili swala liko kichwani,anyway isiwe nongwa
Nyama haina mchango mkubwa kwenye kuongeza uzitoAcha kula nyama Nyekundu.....kula Samaki,Kuku na Mbogamboga kwa maana ya matunda matunda.
Mkuu unamaanisha huyu jamaa asifanye kazi ingine ni mazoezi tuu?Kumbuka mambo mengine yanatakiwa yaendelee pia. Afanye mazoezi kiasi na control aina ya chakula atapungua tuu.Push up Hazina msaada kwenye kupunguza uzito angalau jogging, Fanya mazoezi ya aerobics, punguza misosi ya mafuta na wanga, kama utaweza tumia juicy ya limao angalau Mara moja kwa siku na ukisha kunywa tulia walau dakika 5 ndio uanze kunywa maji walau Lita moja na nusu, hiyo no kwa asubuhi, jioni tizi la nguvu usisahau kuruka kamba walau 450 yaani set 3, kila set ruka 150, Fanya mazoezi angalau 4 days kwa siku, siku mbili pumzika, kila mwezi utapungua walau kilo tatu, mazoezi yanasaidia kupunguza mwili kwa 35%, 65% msosi.
Mkuu hizo push up unazipgaje?mwenzenu tangu nianze jogging nakimbia km takibani kumi kila week, na push-up 200 kila siku, cha ajabu kilo badala zipungue ndo zinazidi; sielewi nkosea wapi, stumii supu, bia wala soda na chakula changu kikubwa ni ugali Wa dona .
malengo yangu nataka zipungue!
Hivi juice ya limao ipoje na inapatikanaje??Mkuu Kama ulikuwepo Vile, Binafsi Mwezi ulopita Nilipima Uzito nikawa na Kilo71 na niakaanza Mazoezi angalau kupungua sasa Zimeongezeka Kilo 4, Sasa Nashindwa Nifanyaje ila Nimepata ushauri kwa Wadau Nipunguze kula pia Niendeleee na Mazoezi kuruka kamba na Juice ya limau 2×Per day ...... Jahbless Workout