Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe asante kwa hii informationHapo maana yake tatizo ni mifupa yako ndo mizito kitu ambacho hakina madhara kiafya.
Kidogo kidogo utazoea, unakuwa kama umefunga Kwaresma au Ramadhani lakini unakula kiasi.duu huu mlo tunaofanya kazi ngumu hautafai yaani ule hivyo halafu kesho ukabebe zege
Ni kupishana tutukianza Kupishana na baiskeli wote huko mtaani cjui itakuwaje
oooh kwaniniMwanaume anatakiwa apunguze kitambi na mafuta tuu then kaza misuli uzito huwa mara nyingi ni 70+
Piga sana mbupu utapungua , show za kibabe
oooh kwanini
Sio mtaalamu sana wa kitengo cha mazoezi, ila naamini akili ndio kila kitu. Akili ikiwa tayari ikakubaliana na hicho ufanyacho (mazoezi) ina mchango mkubwa kupelekea mwili kupungua hapa wengi huilazimisha. Mwingine anafanya mazoezi akitegemea apungue ndani ya wiki moja, yaani unenepe ndani ya miaka kadhaa, kisha upungue ndani ya wiki!kwanza nikupongeze kwa dhati kuamua jambo jema!
lakini naomba nitumie ukurasa huu kutoa darasa,
YAPO MAZOEZI YA KUONGEZA UZITO NA PIA YAPO YA KUUNGUZA UZITO Mimi nafikiri tatizo lako hujafaham, yaani unaunguza na kuongeza pasipo kujua
mazoezi ya kupunguza UZITO ni kama kukimbia, kuruka kamba, kuogelea n.k
na mazoezi ya kuongeza ni kama ngumi,masumbwi,push up, kufanya mapenz n.k
kwa maelezo yako YAPO juu ni dhahili utakuwa unachanganya mazoezi,
pia inashauriliwa epuka kuvaa headphones wakati Wa mazoezi, inatamkwa mazoezi mazuri ni Yale ysnayofanyika ubongo ukiwa free kwa maana ya kufanya mazoezi tu