Tangu nimeanza kupiga mazoezi badala ya kupungua naongezeka uzito

Malengo ni bora hata kama itakutesa vipi, on my side naweza kupungua mwili just 4 single day, nadhani ni mechanism ya Mwili wangu.
 
Piga sana mbupu utapungua , show za kibabe
 
Umeongea fact kabisa I have lost so much fat na ngua zinanipwaya kilo zimebaki pale pale
 
Mwanaume anatakiwa apunguze kitambi na mafuta tuu then kaza misuli uzito huwa mara nyingi ni 70+
 
Sio mtaalamu sana wa kitengo cha mazoezi, ila naamini akili ndio kila kitu. Akili ikiwa tayari ikakubaliana na hicho ufanyacho (mazoezi) ina mchango mkubwa kupelekea mwili kupungua hapa wengi huilazimisha. Mwingine anafanya mazoezi akitegemea apungue ndani ya wiki moja, yaani unenepe ndani ya miaka kadhaa, kisha upungue ndani ya wiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…