Tangu nimekuja UK kusoma, I real miss home Tanzania. I real miss Rosie

Pale unaposhtukia kuwa mleta uzi ni mange kimambi ila kwa kuwa tunatumia fake ID tunapotezea mazima.
 
My fellow Tanzanians tuna matusi sana. Watu wanatukana bila kuogopa mkono wa serikali. This is different from the UK.

Watu wamejaa wivu na husuda. Hakika hatuta piga hatua.

Kiduku Lilo ndio nani? Why are you abusing me?
 
Nilipoona tu kuwa una ID yenye Jina la Kihaya wala sijapata taabu sana Kujua Kiini cha Wewe ' Kujipromoti ' namna hii.
 
My fellow Tanzanians tuna matusi sana. Watu wanatukana bila kuogopa mkono wa serikali. This is different from the UK.

Watu wamejaa wivu na husuda. Hakika hatuta piga hatua.

Kiduku Lilo ndio nani? Why are you abusing me?
Ww mse.ng.....kingereza chako kibovu kweli!!!....eti this is different from the UK..!!?...hata kuandika: kunyoosha sentesi ya kingereza hujui.....
lima viazi huko mporoto....
 
Mkuu Hiyo UK, unamaanisha kisiwa cha ukerewe au
 
mbona kaandika range rover 2006 hiyo 2016 ipo wapi au ame edit?
 
Nakumbuka nilipokuwa nasoma Oxford....
Mkuu Ruta, ahsante kwa ku-share simulizi yako, lakini hapo juu umekosea kidogo... hiyo inaitwa Oxford Learner's Dictionary! Btw, ni Oxford Learner's English Dictionary nini?! Manake naona lugha ya Malkia umeichabanga vilivyo kwa hivyo visentensi vichahe ulivyotumia lugha ya Malkia!
 
Leo ndoa nimejiandikisha asee baada yani vitisho kazini na kuandikwa majina kabisa kwa kauli ya kwamba mkurugenzi atayafuatilia. .. . Awamu hii jamani

Cc Smart911
Jiandikishe mama wasije kukufitini. Si unajua serekali yetu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…