Tangu nimekuja UK kusoma, I real miss home Tanzania. I real miss Rosie

Tangu nimekuja UK kusoma, I real miss home Tanzania. I real miss Rosie

Jiandikishe mama wasije kukufitini. Si unajua serekali yetu hii
acha kabisa yanii
Sema unatania....

siriaz mkuu. .. wameandika majina waliojiandikisha tayari eti unaandika hadi namba ya kujiandikisha kuwa ulijiandikisha ukiwa wangapi. .nami nikaandika tu jina badae tukaitwa kikao na kuambiwa hoi kauli haya majina mkurugenzi anayafuatilia ndo nami nikaenda

Cc Smart911
 
Duh!! Sasa huo ni uchaguzi wa serikali za mitaa, hiyo 2020 si watatishia watu kwa mizinga kabisa!!!
 
Amin usiamin ukichek vinasaba vyako na uncle George unaweza kuta vinafanana. Rudi nyumban kumenoga
 
“Kila asubuhi nilikaa nae kwenye siti za mbele”
Hiyo sentensi nimeirudia mara tatu
 
Tatizo ni kwamba unajimwambafai na vizee vya kike, hujapata wasichana rika lako wa kuwatawanya miguu kwa ajiri ya kujimwambafai na ku-katererorise!
 
Back
Top Bottom