Tangu nimelala juzi, saizi ndo naamka!

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Posts
6,097
Reaction score
7,199
Juzi ijumaa nilipata mtoto wa kikwere kutokea Bagamoyo. Nilimnywesha pombe akawa chakachaka...hata mimi nilikua najikaza nisilewe ili nikaimudu kazi vilivyo. Tukanywa mtoto akalewa nyakanyaka, nikarudi nae geto. Sikumbuki kilichoendelea ila leo ndo tumeamka kila mtu akiwa hoi. Bibie ndo hana hamu, akianza kwenda chooni anatembea kwa kujiburuza kwenye kuta. Pombe mbaya wazee.
 


Pombe, Pombe, Mbope, Mbope itakutumbua. Chapombe weee.🤣
 
Kumekucha wew amka umekaribia kukojoa sas, ila katika watu ambao hawajui kudanganya na wew umo.
 
Sijaelewa huyo mamba na TOPE unamaanisha nini?
Ulipita Topeni???
 
Siku nyingine usifanye hivyo ukidondokea mitaroni itakuwa habari ingine mitaa imechafuka sana zama hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…