kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Juzi ijumaa nilipata mtoto wa kikwere kutokea Bagamoyo. Nilimnywesha pombe akawa chakachaka...hata mimi nilikua najikaza nisilewe ili nikaimudu kazi vilivyo. Tukanywa mtoto akalewa nyakanyaka, nikarudi nae geto. Sikumbuki kilichoendelea ila leo ndo tumeamka kila mtu akiwa hoi. Bibie ndo hana hamu, akianza kwenda chooni anatembea kwa kujiburuza kwenye kuta. Pombe mbaya wazee.