Tangu nioe, sijaugua UTI ya korodani kuwaka moto

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
783
Reaction score
3,666
Japo ndoa inanipelekesha, ila kwa upande wa afya na STDs ni kitu chema sana. Kabla sijaoa, kuumwa UTI kali ambayo hadi korodani zinawaka moto ilikuwa kawaida sana. Yaani kuna muda hadi kukaa muda mrefu ni shida maana ukikaa tu, korodani zinawaka mto.

Ila baada ya kuoa, hayo mambo nimesahau kabisa. Ndoa iheshimiwe.
 
Japo ndoa inanipelekesha, ila kwa upande wa afya na STDs ni kitu chema sana. Kabla sinaoa, kuumwa UTI kali ambayo hadi korodani zinawaka moto ipikua kawaida sana. Yani kuna muda hadi kukaa mda mrefu ni shida mana ukikaa tu, korodani zinawaka mto.

Ila baada ya kuoa, hay mambo nimesahau kabisa. Ndoa iheshimiwe.
Good.
 
UTI ni nini na pathophysiology yake ni ipi?
 
Back
Top Bottom