Tangu nioe, sijaugua UTI ya korodani kuwaka moto

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
783
Reaction score
3,666
Japo ndoa inanipelekesha, ila kwa upande wa afya na STDs ni kitu chema sana. Kabla sijaoa, kuumwa UTI kali ambayo hadi korodani zinawaka moto ilikuwa kawaida sana. Yaani kuna muda hadi kukaa muda mrefu ni shida maana ukikaa tu, korodani zinawaka mto.

Ila baada ya kuoa, hayo mambo nimesahau kabisa. Ndoa iheshimiwe.
 
Good.
 
UTI ni nini na pathophysiology yake ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…