Tangu nipate hela sijawahi kuota ndoto za kutisha

Tangu nipate hela sijawahi kuota ndoto za kutisha

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Zile ndoto za kukabwa, mara kukimbizwa halafu hauwezi kukimbia au kuanguka toka juu halafu ukifikachini huumii n.k zimekoma maramoja baada ya kuanzisha hii kampuni yangu ya kuchezesha kamari.

Nampongeza sana rais wetu. Sasahivi mkiliwa pesa za kubet mnakuwa mmenichangia pakubwa sana. SIJATAPELI MTU, KUBETI UMEAMUA MWENYEWE KENGE WEWE.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom