Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Asante sana mkuu kwa ushauri wako nitaufanyia kazi [emoji120]Uume husimama kutokana na damu kwenda kwenye uume, ukiona hausimami maana yake una matatizo kwenye mishipa ya damu inayoenda kwenye uume.
Hizo dawa zinachofanya ni kulazimisha damu iende kwenye uume kwa kuongeza msukumo.
Hizo dawa husababisha kichwa kiume, zinasababisha macho kuwa na uoni hafifu, zinaweza kukiathiri zaidi
Zinaweza kukuua tena.
Suluhisho
Nenda hospital, onana na urologist atakupa maelekezo au nenda BMH Dodoma wameanza zibua mishipa ya kutibu hilo tatizo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
nini kilikukuta mkuu? heb tupe mrejesho tuziepuke!Hapo kwenye kufa ndo pazuri
Mi naona Afe tu ili liwe fundisho Kwa wenzake.
Mi sirudii tena kutumia vumbi ya Congo.
Karibu BMH Dodoma. Ni million zako 6 Tu na tatizo lako linakwisha kabisa.Uume husimama kutokana na damu kwenda kwenye uume, ukiona hausimami maana yake una matatizo kwenye mishipa ya damu inayoenda kwenye uume.
Hizo dawa zinachofanya ni kulazimisha damu iende kwenye uume kwa kuongeza msukumo.
Hizo dawa husababisha kichwa kiume, zinasababisha macho kuwa na uoni hafifu, zinaweza kukiathiri zaidi
Zinaweza kukuua tena.
Suluhisho
Nenda hospital, onana na urologist atakupa maelekezo au nenda BMH Dodoma wameanza zibua mishipa ya kutibu hilo tatizo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
😂 😂 😂 😂 😂 😂Karibu BMH Dodoma. Ni million zako 6 Tu na tatizo lako linakwisha kabisa.
UONGOMsihangaike sana na NGUVU za KIUME.
Vijana wengi wanakufa,
Kijana mmoja alimeza Dawa mashine ikasimama Dede siku 3 bila KUSHUKA kwenda hospital ikabidi akatwe mshipa.
VIJANA ACHENI KUHANGAIKA NA NGUVU ZA KIUME.
Uume kusimama asubuhi yatakiwa uwe na mkojo, usipokuwa nao haisimami asubuhiMsininukuu vibaya wazee kama ni kupeleka moto napeleka vizuri sana wala hilo halinipi wasiwasi kabisaa. Tatizo ni hiyo hali ya kuamka asubuhi nakuta uume hausimami na unakuta nimekaa zaidi ya wiki sijasex.
Nasikia wanapandikisha uume wa punda kwa hiyo beiKaribu BMH Dodoma. Ni million zako 6 Tu na tatizo lako linakwisha kabisa.
Do hatari hiyoMsihangaike sana na NGUVU za KIUME.
Vijana wengi wanakufa,
Kijana mmoja alimeza Dawa mashine ikasimama Dede siku 3 bila KUSHUKA kwenda hospital ikabidi akatwe mshipa.
VIJANA ACHENI KUHANGAIKA NA NGUVU ZA KIUME.
Kk tiba hipo alafu sio bei njoo inbox nikupe tibaMadaktari na wataalamu wa afya naombeni msaada wenu tafadhali kabla sijatumia hizo dawa hapo nilikuwa vizuri tu nikiamka asubuhi nakuta mwamba kasimama dede.
Lakini tangu nitumie hizo dawa japo sikuzimaliza zote nilibakiza kama tano hivi baada ya kuona hiyo hali uume ulikuwa hausimami na mpaka leo uume hausimami kabisa asubuhi ni kwa nadra sanaaa
Naombeni msaada wakuu nifanyeje ili niweze kurudia kwenye hali yangu ya kawaida?
Msaada tafadhali wakuu. [emoji120]
View attachment 2706858