Tangu nitumie hizi dawa VIGOMAX uume wangu hausimami asubuhi kama ilivyo kawaida kwa wanaume

huu ndio ukweli, kimaumbile tunatofautiana, turithike na vile tupo, tujiongeze tu kwenye mazoezi, kula kiafya na kujifunza mbinu nzuri za kumfurahisha baby.. ila mambo ya kudinda masaa 3 eti show show , au mambo ya kuongeza gobole wala haisaidii, maana mwanamke anaweza kuzoea show yyte ile, muhimu mfanye akupende ataridhika hata ukiweka kidole, ila ukienda kushindana na mahali anatoka mtoto, huwez shinda hyo vita, ni kujitafutia vifo, magonjwa sugu na ukibisa baada ya miaka michache
 
Mpaka mnaenda kula hayo madude mmekosa nini?

Hamridhiki na dudu kudinda natural.

Kama ulikuwa unahitaji nguvu zaidi ungebadili mfumo wa maisha kidogo tu zaidi kwenye chakula.
Alidhani hiyo ndio njia sahihi ya kumridhisha mdada wake.

Anywe maji ya moto yaliyowekewa karafuu, kitunguu maji, kitunguu saumu na pilipili, x3 kutwa, hasa kabla ya mlo
 
Msihangaike sana na NGUVU za KIUME.

Vijana wengi wanakufa,

Kijana mmoja alimeza Dawa mashine ikasimama Dede siku 3 bila KUSHUKA kwenda hospital ikabidi akatwe mshipa.

VIJANA ACHENI KUHANGAIKA NA NGUVU ZA KIUME.
CHAI
 
Vijana wa kiume jifunzeni kujilizisha nyie kwenye sex
Huwez lizisha wanawake sabu wanawake weng wameanza mapenzi wakiwa na umri mdgo na kushiriki napenzi na watu wa umri mkubwa sasa ww unapokuja unataka umlizishe mwanamke ndo apo mattzo yanapoanzia

Suala la nguvu za kiume ni uongo wanaume tuna nguvu sana ila ttzo ni dada zetu wameanza mapenzi wakiwa wadgo wamekomaa na kukubuhu
 
Ungeanza kujiweka karibu na Mungu kwa kufanya shughuli za kujitolea ndani ya jamii.
 
Watu wanajisokomeza midoli na matango halafu anakuja mtu anataka kushindana nayo.
 
Mtu anatafuta dem kwa nyege zake, halafu akipewa anataka kuonyesha kuwa anatoa msaada wa kukata nyege za madem badala ya kushughulika na nyege zake binafsi.
 
Msihangaike sana na NGUVU za KIUME.

Vijana wengi wanakufa,

Kijana mmoja alimeza Dawa mashine ikasimama Dede siku 3 bila KUSHUKA kwenda hospital ikabidi akatwe mshipa.

VIJANA ACHENI KUHANGAIKA NA NGUVU ZA KIUME.
Wanatafuta heshima kwa 'bed'.....ila wanaishia kujiua.
 
Mtu anatafuta dem kwa nyege zake, halafu akipewa anataka kuonyesha kiwa anatoa msaada wa kukata nyege za madem badala ya kushughulika na nyege zake binafsi.
kabisa, kulingana na uhalisia wa mtu inapaswa ufuate vile mwili wako unaweza kumudu. Mambo ya kujitia ufundi ikiwa huna ufundi wowote ndio kuishia kujiua kabisa.
 
kabisa, kulingana na uhalisia wa mtu inapaswa ufuate vile mwili wako unaweza kumudu. Mambo ya kujitia ufundi ikiwa huna ufundi wowote ndio kuishia kujiua kabisa.
Wanataka kukata nyege za wasio na nyege. Lile tendo ni starehe, tatizo hadithi zina waharibu vijana na kuwajengea hali ya kutojiamini.
Mtu anatakiwa ajijue uwezo wake unapoishia, then ajipe furaha.
 
Wanataka kukata nyege za wasio na nyege. Lile tendo ni starehe, tatizo hadithi zina waharibu vijana na kuwajengea hali ya kutojiamini.
Mtu anatakiwa ajijue uwezo wake unapoishia, then ajipe furaha.
mtu anataka kushindana na kichwa kinachowaza VICOBA, upatu, ada ya watoto wasio na baba na matatizo mengine lukuki, halafu anatarajia atamkojoza mtu kama huyo.
Sheria ni moja tu, wewe mwenye nyege zako nenda, kojoa kadri ulivyojaaliwa nenda nyumbani.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…