Wananchi walijitokeza kujiandikisha ili wawachague viongozi watakaowaletea maendeleo lakini kinyume chake yametokea mambo ya hovyo tena ya hovyo katika uchaguzi huu.
Wagombea wanapigwa risasi, wengine wanakatwa mapanga ili Chama fulani kitimize malengo yake. Hii ni AIBU kubwa wakati tuna viongozi wa nchi tuliowachagua kwa upendo lakini bado kunatokea aibu kama hii.
Wazee mpaze sauti,. Mzee Butiku na wengineo mpaze sauti. Mababa Askofu, Mashehe pazeni sauti
Tunapokwenda siyo kuzuri.