Halafu kuna wapuuzi wanathubutu kuupongezaWananchi walijitokeza kujiandikisha ili wawachague viongozi watakaowaletea maendeleo lakini kinyume chake yametokea mambo ya hovyo tena ya hovyo katika uchaguzi huu. Wagombea wanapigwa risasi, wengine wanakatwa mapanga ili Chama fulani kitimize malengo yake. Hii ni AIBU kubwa wakati tuna viongozi wa nchi tuliowachagua kwa upendo lakini bado kunatokea aibu kama hii. Wazee mpaze sauti,. Mzee Butiku na wengineo mpaze sauti. Mababa Askofu, Mashehe pazeni sauti . Tunapokwenda siyo kuzuri.
Nchi imefika patamu sanaWananchi walijitokeza kujiandikisha ili wawachague viongozi watakaowaletea maendeleo lakini kinyume chake yametokea mambo ya hovyo tena ya hovyo katika uchaguzi huu.
Wagombea wanapigwa risasi, wengine wanakatwa mapanga ili Chama fulani kitimize malengo yake. Hii ni AIBU kubwa wakati tuna viongozi wa nchi tuliowachagua kwa upendo lakini bado kunatokea aibu kama hii.
Wazee mpaze sauti,. Mzee Butiku na wengineo mpaze sauti. Mababa Askofu, Mashehe pazeni sauti
Tunapokwenda siyo kuzuri.
Mwakani watakufa mamia huyu mama ni hatari sana kwa nchi yetu.Wananchi walijitokeza kujiandikisha ili wawachague viongozi watakaowaletea maendeleo lakini kinyume chake yametokea mambo ya hovyo tena ya hovyo katika uchaguzi huu.
Wagombea wanapigwa risasi, wengine wanakatwa mapanga ili Chama fulani kitimize malengo yake. Hii ni AIBU kubwa wakati tuna viongozi wa nchi tuliowachagua kwa upendo lakini bado kunatokea aibu kama hii.
Wazee mpaze sauti,. Mzee Butiku na wengineo mpaze sauti. Mababa Askofu, Mashehe pazeni sauti
Tunapokwenda siyo kuzuri.
Sasa wawe wanapinga nini kama hawashiri chaguzi?Wapinzani wapumbavu sana kwani hawezi kukaa bila kushiriki hizi chaguzi?
Labda 2005.Umezaliwa lini?
JWTZ hawapo hapo,hawana ujinga ujinga wa kuwalamba watu miguu,achana nao kabisa hao watuHuu uchaguzi ulikuwa ni aibu Sana. Basi tu sema CCM imeshikilia kila kitu kuanzia mahakama , bunge, jeshi JWTZ na hata polisi.
Futeni vyama vingi basi ibaki ccm, si mnawezaWapinzani wapumbavu sana kwani hawezi kukaa bila kushiriki hizi chaguzi?
wote ni jumuia ya mazombiJWTZ hawapo hapo,hawana ujinga ujinga wa kuwalamba watu miguu,achana nao kabisa hao watu
Mashehe na maaskofu wa walokole ni machawa wakubwa sana!Wananchi walijitokeza kujiandikisha ili wawachague viongozi watakaowaletea maendeleo lakini kinyume chake yametokea mambo ya hovyo tena ya hovyo katika uchaguzi huu.
Wagombea wanapigwa risasi, wengine wanakatwa mapanga ili Chama fulani kitimize malengo yake. Hii ni AIBU kubwa wakati tuna viongozi wa nchi tuliowachagua kwa upendo lakini bado kunatokea aibu kama hii.
Wazee mpaze sauti,. Mzee Butiku na wengineo mpaze sauti. Mababa Askofu, Mashehe pazeni sauti
Tunapokwenda siyo kuzuri.
Tatizo kuna wajinga wajinga akili zao ndogo sana wako ikulu wamemuaminisha mama kizimkazi kuwa dawa ya wapunzani ni kutumia nguvu tu sio wa kuwachekea hawa , na kwa vile huyu mama naye akili zina fanana na walio mzunguka kaamini kuwa hiyo ndiyo njia salama kwake. Wacha tuone mwisho wake nani atanuka mavi.Wananchi walijitokeza kujiandikisha ili wawachague viongozi watakaowaletea maendeleo lakini kinyume chake yametokea mambo ya hovyo tena ya hovyo katika uchaguzi huu.
Wagombea wanapigwa risasi, wengine wanakatwa mapanga ili Chama fulani kitimize malengo yake. Hii ni AIBU kubwa wakati tuna viongozi wa nchi tuliowachagua kwa upendo lakini bado kunatokea aibu kama hii.
Wazee mpaze sauti,. Mzee Butiku na wengineo mpaze sauti. Mababa Askofu, Mashehe pazeni sauti
Tunapokwenda siyo kuzuri.
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa! Jinga kabisa!Tatizo kuna wajinga wajinga akili zao ndogo sana wako ikulu wamemuaminisha mama kizimkazi kuwa dawa ya wapunzani ni kutumia nguvu tu sio wa kuwachekea hawa , na kwa vile huyu mama naye akili zina fanana na walio mzunguka kaamini kuwa hiyo ndiyo njia salama kwake. Wacha tuone mwisho wake nani atanuka mavi.