Tangu nizaliwe sijawahi kusikia Yanga inacheza makundi Club Bingwa Afrika

Ndo timu ya kwanza kufika hatua hiyo kwa Tanzania ktk maahindano ya Klabu bingwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi huko shule mlienda kusomea ujinga?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]UTOPOLO
 
Nyie wanyoa VIDUKU na kuvaa vinjunga mbele ya mama zenu mnashida sana watoto wa 2000 kuja juu
Hamjui kitu zaid ya pombe, mziki na pool table jumlisha ku beat
Acha makasiriko
 
Aliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika

Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
KOLO umezaliwa 2000?
 
Aliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika

Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
inategemea ulizaluwa mwaka gani
 
Aliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika

Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
Sio kosa letu, wewe kuchelewa kuzaliwa 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…