DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi huko shule mlienda kusomea ujinga?Ndo timu ya kwanza kufika hatua hiyo kwa Tanzania ktk maahindano ya Klabu bingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi huko shule mlienda kusomea ujinga?Ndo timu ya kwanza kufika hatua hiyo kwa Tanzania ktk maahindano ya Klabu bingwa
Ni rekodi25yrs ago
Fafanua bila. Nielimishe bila maudhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi huko shule mlienda kusomea ujinga?
Nimelalamika kweli?Acha makasiriko
KOLO umezaliwa 2000?Aliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika
Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
Usiogope mdogo wangu, msimu ujao utawaona Utopolo huko CLabu bingwa.Kumbe nikiwa na miaka 3,nikadhani nikiwa nimevunja ungo
Unacheka?Aaahhaaa
Hilo ndiyo kombe lenu.Aliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika
Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
inategemea ulizaluwa mwaka ganiAliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika
Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
Sio kosa letu, wewe kuchelewa kuzaliwa 😅😅Aliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika
Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague