Siku hizi watu wako makini katika kutoa namba za simu. Ukutoa namba yenye makosa unaweza kupishana na lorry la mshahara.
Enzi zile mtu akikuomba namba kama hutaki juzoeana nae unatunga namba kichwani. Mambo yamebadilika unaweza kukosa Tigo pesa, sikuhizi unahakikisha amekupigia kabla hamjaachana.