Tangu Simba ipigwe 5G kuna members wamekimbia jukwaani. Hebu tuwataje ili watoke huko waliko

Tangu Simba ipigwe 5G kuna members wamekimbia jukwaani. Hebu tuwataje ili watoke huko waliko

Je ni kweli Simba imemuacha kocha au kocha ameachana na Simba?
Mbona Yanga walipofungwa na watani zao ngao ya jamii kwa penalti hawakumfukuza kocha?
Simba mchezo wa kuwatoa kafara makocha utawagharimu pakubwa, jaribuni kuwaheshimu wanachama na mashabiki wenu, klabu ya Simba si kama chama cha siasa bali ni timu ya mpira yenye kuwapatia wanachama na mashabiki wake burudani na furaha, mkiwazingua nao watakuzingueni.
 
Nuksi ilianza kwa kumleta huyu kocha mwenye profile ndogo badala ya kuendelea na mzawa mwenye vision
 
Back
Top Bottom