mgunda bado sana nduguNuksi ilianza kwa kumleta huyu kocha mwenye profile ndogo badala ya kuendelea na mzawa mwenye vision
Tulia wewe,kila siki kufuatilia mampira ndio maana hamna maendeleo....
Yamekua hayo mtaniTulia wewe,kila siki kufuatilia mampira ndio maana hamna maendeleo....
Kwanza mampira ni dhambi.
Mwenzio yuko busy kaamua kumuhudumia vizuri mumewe toka apigwe kono la goliraGENTAMYCINE hebu jitokeze
Huwezi jifungia ndani siku zote hizo na simu umezima.
Toka nje ukafanye maisha, kuna maisha baada ya dakika 90.