BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
hawa Messi and Cristiano Ronaldo wapo kizazi kisicho jua mpira ila wangecheza miaka ya 2002 kurud nyuma walikua wa kawaida tu
unasumbuliwa na mahaba Messi huyu haja fikia ufundi wa RonadhoMkuu unachekesha mnoo. Messi??? Huyu Messi 2naemjuwa🙁 angecheza from 94 to now wangeisoma namba hao watoto,,,,,Achana na messi bwanaa,,,hakuna wa kariba yake na hatatokea. Just think miaka mingapi kacheza na hajadrop ukifananisha na wachezaji waliopita!!!!!!!. Wachezaji waliopita miaka mi 3 mi nne wamechoka ile mbaya na kuendekeza umaraya. Mkuu King Messi anawaumiza mnoo. Angalieni bwanaa mucje mukapata anxiety disorders
We viloba umepata wapivp uliwahi kumwona Edibily Lunyamila?maana huyo mess hata marekani hawamjui
ongezea na George Hagi, mchawi wa chenga za maudhi huyo.Ronaldinho, Okocha na Zidane kwangu hawa ndio walikuwa ladha halisi ya Soka.
Vipimo vyote vya mchezaji bora kuwahi kutokea duniani vinamuangukia PELE.
-UREFU
- MSULI
- MATUMIZI YA MIGUU
-MATUMIZI YA KICHWA
Huyu jamaa kacheza mpira mkubwa wakati dunia inawachezaji nguli kila kona. Hakuna sheria za kulinda mastaa, dunia ya 3 hatuoni live baada ya muda tunaona kwenye vijalida au mikanda ya filamu jamaa alikuwa hatari saana. Ukisikia Pele.Jahzinho.Tostao.nk Brazil ya kutisha wakipiga faulo wachezaji kama kumi wanauruka mpira ikipigwa goli.
Kidogoo Diego alifuatia, ila dawa za kuongeza nguvu zinamuondolea sifa.kwa maana ya kuburudisha huwezi kumuacha Gaucho na kwa maana ya udhamini na biashara ya soka MESSI na C7 ni wakati wao.
Dunia nyingine ya soka la ukweli na iliyoondoka na mpira wao ni De Lima, zizou
Siyo mm ni wataalam wa soka wa soka wa wakati huo na sasa Soka la Dunia huwezi kuikwepa BRAZIL Diego anajua sikatai lkn kwa Pele stopMkuu ondoa mahaba kwa wabrazil. Ongea facts
Hao wote umewataja kwa DIEGO ni choo kabisa
mimi sio mtumwaWe viloba umepata wapi
We viloba umepata wapi
Munataja watu waliocheza enzi hizo hakuna off side , kona 3 penalt. [emoji36] [emoji36]. Chukua Video Crisps ya Messi vs Pele/ Maradona . utaona kuwa Messi hatari. Nakuambiaje kama ingekuwa inaruhusiwa nilitaka Pele acheze karne hii ambayo mm naamini mpira ni mgumu sana. Mastars wengi timu zao za taifa ni uchuro . sio enzi za mwl unakuta timu za taifa zipo vizuri sana. Mabeki hawahawa unaowadharau wangemtoa shipa uyo Pele wakoSiyo mm ni wataalam wa soka wa soka wa wakati huo na sasa Soka la Dunia huwezi kuikwepa BRAZIL Diego anajua sikatai lkn kwa Pele stop
Kila ufalme na utawala wake wewe umemshuhudia messi katika kizazi chake unahaki ya kusema messi ni bora lakini walio kuwa enzi hizo walikuwa na wachezaji wao walio sema ni bora kuwai kutokea na zama zijazo zitakuwa na kizazi chao nao watasema ni bora kuwai kutokea kwaiyo tusiwape sifa kuzidi dunia yenyewe na wengine wanafanisha na alien sijui washawai kuona alien wakicheza mpira mpeni sifa anayostahiliWADAU WENZANGU HESHIMA KWENU!
1-LEONEL ANDRES MESSI-LA PULGA
View attachment 399998 View attachment 399999 View attachment 400000 View attachment 400001 View attachment 400003
2-DIEGO ARMANDO MARADONA-GOLDEN BOY
View attachment 400004 View attachment 400010 View attachment 400011 View attachment 400009 View attachment 400008 View attachment 400005
Tangu soka lianze hapa ulimwenguni. Ni mchezaji yupi aliyefikia kiwango cha wafalme hawa wa soka hapa duniani Al maarufu LEONEL ANDRES MESSI-LA PULGA & DIEGO ARMANDO MARADONA-GOLDEN BOY
Nataka tu niwakumbushe wadau wenzangu! Najuwa kuna wengine watakuja hapa na misemo tofauti tofauti na mada isemavyo flani anamagoli mengi la hasha! hapa hatuzungumzii wingi wa magoli bali tunazungumzia viwango bora vya mchezaji!
MESSI na Maradona wanajulikana ni wachezaji wa kipekee mno kuwahi kutokea katika ulimwengu huu wa soka, wamepitia wakati mgumu sana,
Tofauti na kipindi cha akina PELE Wamecheza katika kipindi ambacho watu hawakuwa wakijua sana mpira tofauti na sasa, na hata sheria zilikuwa laini Mno tofauti na sasa Sheria zimekuwa ngumu kitu kidogo filimbi, hebu fikiria kuwa kipindi hicho OFF-SIDE zilikuwepo za kumwaga , hata ukimpa mtu ki-pepsi ilikuwa ni poa tu, ukimpiga mtu push ya nguvu jambo la kawaida REFA hakufikirii kama sasa.....
Vile vile ufungaji ulikuwa ni mrahisi mno, magoli yalikuwa sio magumu kama ambavyo tumewashuhudia katika kipindi chao.
Pia ningeomba tuwe wakweli bila kuwa na ubaguzi wa aina yeyote ule.. eti kwa sababu huyu White tusimpe haki yake, eti kwa sababu huyu ni Black tusimpe haki yake..... No! hiyo haipo... na kama mtu huyo atachagua mchezaji kwa kigezo cha rangi ama utaifa wake basi huyo atakuwa si mshabiki haswaa wa soka. Kila mchezaji tumpe haki yake awe mweusi ama mweupe na vilevile taifa alikotoka.
Ahsanteni;
Huo mtazamo wako, hv huyo Messi huwa anakufurahisha nini zaidi pindi mchezo unapoisha bila kufungana? Kitu ambacho ni tofauti kwa wachezaji hao wengine uliowataja hata mechi iishe 0 - 0 kiasi kikubwa utakuwa umeenjoy mechi ,mfano rahisi ni Niyonzima na Msuva mmoja anakuburudisha na anaweza kufunga mwingine anakimbia kimbia na kufunga sana chaguo ni lako.Gaucho sio level yake wawili hawa. Gaucho level yake iniesta,Aguero,okocha nk. hata uwalete akina pele, zidane, de stephano,redondo bado sana kwa wafalme hawa Sembuse gaucho hata de lima tu kamfunika vibaya tu!
Nafahamu mpira ni kuhadithiana sijui unafahamu sheria 17 za soka zilianza lini?Munataja watu waliocheza enzi hizo hakuna off side , kona 3 penalt. [emoji36] [emoji36]. Chukua Video Crisps ya Messi vs Pele/ Maradona . utaona kuwa Messi hatari. Nakuambiaje kama ingekuwa inaruhusiwa nilitaka Pele acheze karne hii ambayo mm naamini mpira ni mgumu sana. Mastars wengi timu zao za taifa ni uchuro . sio enzi za mwl unakuta timu za taifa zipo vizuri sana. Mabeki hawahawa unaowadharau wangemtoa shipa uyo Pele wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtakatifu Ronadinho haya twende kaziHujaielewa mada bali umekurupuka tu, mleta uzi kauliza.. Tangia soka lianze hapa ulimwenguni je! Ni mchezaji yupi aliyefikia kiwango cha wafalme hawa wa soka hapa duniani Diego na Leo? Sasa wewe umekuja na majibu tofauti kabisa! Mara cjui pele ana magoli mengi, mara cjui ball control gaucho,mara sijui Cr7 kateseka sana, maisha magumu mno! Hahahaaa hueleweki.... Rejea kuisoma upya mada kisha uje na majibu yanayo eleweka!
Mi nitakusaidia kidogo chagua mchezaji unaye mkubali aliyewazidi messi na Diego, i mean uje na jibu moja tu,
Ninakushangaa unapompa credit Zidane halafu umponde GauchoMkitaka kushuhudia mashabiki mandazi ama
vitumbua mtawajua tu! Wanapoletwa Diego maradona na King Messi humu watu hawa huwa wanaumia sana sijaelewa problem ni nini...
Na maranyingi hao hao mandazi na vitumbua ukiwauliza swali lolote wanakimbia
Mfano mmoja! mnao mshabikia gaucho huwa hatuwaelewi kabisa tukiwaomba ( facts,evidence, statistics ) hakuna hata mmoja atakaye leta, wanabakia kumsifia juu juu tu bila ukweli wowote....
Watu hawa tunawaweka katika kundi lipi? Malofa ama ni nini haswaaa,, nilishawaambia yeyote atayekuja na ushahidi wowote unaoonyesha gaucho ni zaidi ya wawili hawa na zidane wa tatu...basi naomba mods wani-ban, lakini sijaona yeyote aliyeleta facts...hivyo watu hawa ni wakupuuzwa na wala hawana maana yeyote,na wala huwezi kuwaweka kwenye kundi la mashabiki wa soka....so wakuwapuuza
Mashabiki wa Maradona ukiwaomba facts,evidence,statistics watakuletea bila kuchelewa
Mashabiki wa Messi ukiwaomba facts,evidence, statistics watakuletea bila kuchelewa
Mashabiki wa Zidane vile vile ukiwaomba facts, evidence, statistics watakuletea bila kuchelewa
Best player hajanyanyua World Cup? huyo best makinikiaMleta uzi kafafanua vizuri mno! Tatizo letu waaflika tunaangalia rangi ya mtu na utaifa wake, hii kitu mbaya sana inatuponza...
sasa wewe kwa akili yako tu ya kuzaliwa unaamini Gaucho kamzidi Maradona,mfalme wa soka,hata pele katupiliwa mbali?
Kwa akili yako tu ya kuzaliwa unaamini Gaucho kamzidi Messi,mfalme wa soka?
Kwa akili yako tu ya kuzaliwa unaamini Gaucho kamzidi Zidane?
Watanzania tunaongea mno without facts...kwakuwa bob marley kaongea na wewe ukaamini sindio?
Why Maradona and Messi wameshika no 1 ktk best Players in the world alaf Gaucho yupo wa 31 na still siku zinavyozidi kuloloma anaendelea kudrop? Usipende kuhadithiwa hakikisha mwenyewe......
Mkuu MDEGEREKO katoa ushauri smart yakuwa msipende kuhadithiwa nendeni youtube mkajionee wenyewe mtapata jibu.....
Siyo mm ni wataalam wa soka wa soka wa wakati huo na sasa Soka la Dunia huwezi kuikwepa BRAZIL Diego anajua sikatai lkn kwa Pele stop