Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa Tundulisu amewahi kuhujumu mali au fedha za umma hata sh. Mia mbili.
Hajawahi kuwa muoga kwasababu ya maslahi.
Anaposimamia jambo uhai wake huuweka pembeni kabisa.
Awamu ya tano kila walipotafuta mpenyo wamfunge afie jela hawakuona hata kadirisha kaliko wazi , ni mtu safi.
Yule mungu wa wajinga na wapumbavu ambaye sasa ni marehemu pamoja na kusifiwa sana lakini ana kashfa nyingi tu za ufisadi na ukiukaji wa maadili ya viongozi.
Huyu Mwabukusi si kwamba kazaliwa 2021 , no, alikuwa wakili msomi muda mrefu tu ila kipindi kile cha Magufuli alijificha akificha roho yake, maana kipindi kile wapinzani halisi walikuwa wakifuatwa na kifo kila wanakopita.
Imagine Magufuli alivitia vyombo vyote vya habari mfukoni akitembea navyo kila mahali akifanya kampeni tangu tu aingie madarakani. Habari za Lissu waandishi walikuwa wakiogopa kuandika lakini by 2017 umaarufu wa Lissu ulikuwa mkubwa zaidi ya mtu aliyeviweka vyombo vya habari mfukoni.
So far, walipojaribu kumuua ikashindikana. Kwa ambao tumewahi kucheza parade tunajua uwezo wa AK 47, lakini ilifeli kwa Lissu. What wonder!.
Sababu kubwa kwanini Tanzania ni maskini licha ya kodi zinazokusanywa kila siku, licha ya misaada na mikopo tunayopata kila siku ni viongozi pamoja na watumishi wasimamizi kukosa UZALENDO.
Pesa ikiingia tu inaanza kumezewa mate na watu waliovaa suti tunaowapa heshima kama viongozi kisha watumishi wa chini ambao husimamia miradi na kuitekeleza wanamalizia kuzidokoa.
Kama Lissu angekuwa Rais ninaamini 90%-96 % ya pesa za umma zingetumika kwaajili ya ustawi wa nchi na si kufanyia sherehe za kijinga.
Nihitimishe kusema mwanadamu yeyote dhalimu atakayeinua kinywa au mkono dhidi ya Lissu huyo hautaki uhai wake.