Tangu TAMISEMI waseme wamepata kibali Cha kuajiri kada ya Afya na Walimu tangu mwezi wa pili mwaka huu sijui shida huwa nini?

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn kama Mhe. Rais ametoa kibali?
 
Huko si ndo Kuna mkwilima(Kwa kisukuma)
Mkwe
 
Kwanza kibali kutoka sizani kama kweli mh. rais katoa mana asaivi Kila kitu huwa wanamsingizia TU mh.rais juzi tu hapa dada ummy amesema rais kapunguza vifo vitokanavyo na HIV.mara asaivi Kuna hadi madaktari wa Samia wanaokoa maisha Tanzania nzima.
Pili Ajira sio kipaombele Cha waziri, na rais wake na wizara Kwa ujumla pindi alipompa wizara hiyo ya tamisemi alimpa na Cha kufanya refer speech za mh. rais aliwai mwambia waziri wa Tamisemi uko nilipokuweka mikiki mikiki mingi kipindi Cha uchaguzi huu wa serikali za mitaa nenda kapige KAZI mambo yawe safi najua unaweza ndio mana nimekupeleka huko.
Kwahiyo hapo nazani ushajua Tamisemi hipo busy na michakato ya uchaguzi wa serikali za mtaa ndio kazi waliyopewa na boss wao lazima itekelezwe effectively,maswala ya ajira sio task waliopewa na boss wao sahau Kwa muda huu lamda mambo yawe magumu sana ndio watawapooza na viajira viwili vitatu.
 
Nimekuelewa mkuu kwa hiyo vijana wetu wasahau
 
Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn kama Mhe. Rais ametoa kibali?
Kinachoonekana hazina Haina pesa ya kulipa walimu wapya, walimu waliokuwepo tu wanalipwq kwq bahati nasibu Kila mwezi Kuna kundi la watumishi kimakosa mshahara bila sababu ya msingi, binafsi sitegemei ajira kutangazwa karibuni hii
 
Mzee kuwa mpole mambo ya Serikali yanahitaji uvumilivu pamoja na utulivu ,kuwa mpole kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…