Kwanza kibali kutoka sizani kama kweli mh. rais katoa mana asaivi Kila kitu huwa wanamsingizia TU mh.rais juzi tu hapa dada ummy amesema rais kapunguza vifo vitokanavyo na HIV.mara asaivi Kuna hadi madaktari wa Samia wanaokoa maisha Tanzania nzima.
Pili Ajira sio kipaombele Cha waziri, na rais wake na wizara Kwa ujumla pindi alipompa wizara hiyo ya tamisemi alimpa na Cha kufanya refer speech za mh. rais aliwai mwambia waziri wa Tamisemi uko nilipokuweka mikiki mikiki mingi kipindi Cha uchaguzi huu wa serikali za mitaa nenda kapige KAZI mambo yawe safi najua unaweza ndio mana nimekupeleka huko.
Kwahiyo hapo nazani ushajua Tamisemi hipo busy na michakato ya uchaguzi wa serikali za mtaa ndio kazi waliyopewa na boss wao lazima itekelezwe effectively,maswala ya ajira sio task waliopewa na boss wao sahau Kwa muda huu lamda mambo yawe magumu sana ndio watawapooza na viajira viwili vitatu.