Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,081
- 2,325
Tangu TICTS waondoke, hali imekuwa si haki bandarini; Uchakavu wa mizigo, kuchelewa kuteremsha, mpaka mashine za kuhamisha makasha zinakosekana, kisa vipuri hakuna. Watu wa manunuzi wanafanya yao.
Serikali, harakisheni huo mchakato DP World waje. Mnawachelewesha watumiaji wa huduma za bandari.
Serikali, harakisheni huo mchakato DP World waje. Mnawachelewesha watumiaji wa huduma za bandari.