Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

Kipindi hicho visichana vilikuwa havijawa ombaomba kama sasa. Manara atawapata maana hawa wanawake na hela ni kama shetani na ibilisi hawakatai.
 
Wanawake kama una hela hata ..basi.
 
Mitandao ndio inamuharibia.atafute mke wa kawaida mvumilivu .amuweke mbali na mitandao
 
Kumbe ukichaa ulianzia mbali....
🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔
 
Ulipogusia kwenye kusema yeye sio mtanzania ndiyo nimejua na kukubali kuwa kweli unamjua .

Haji amewahi kuwa mwalimu wangu ila akipenda sana enzi hizo kusema yeye sio mtanzania na pia tukakutana kwenye chama fulani akiwa naye ni mwanachama ila kiongozi wa ngazi fulani nako hakusita kuendelea kutuchimba biti za kitoto .

Ila itoshe kusema Manara ana kimavi fulani kinachotokana na kamdomo kake .

Ukimuona mwambie katogori anamsalimia sana anitafute
 
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Acha kutoa siri za GENGE LA RAIA FEKI LA BWANA ROSTAM AZIZI LINALO ONGOZA NCHI KWA SASA CHINI YA SA100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…