Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

Na kitu hajui angejitafutia zake mke huko vijijini akawa mke na akamuweka mbali na midrama yake cha muhimu atafute hela mke ampe heshima nyumbani, haji tatizo kamdomo
Mtu anapenda kuzungumziwa kila mara hvy lazima atafute mwanamke ambaye ataendana na hizo drama, mwisho wa siku ndo hv.

Ila ukweli n kwamba kutokana na rangi yake bc ana jukumu moja tuu la kutafuta mwanamke kijijini huko ambaye hata hajui Facebook n nn
 
Wanawake wanapenda sana umbea, ukiwa muongeaji utawakata sana kila uchwao.
Nipo kikazi mkoa fulani hapa, nimempata mdada anamiliki duka lake na yuko poa haswa kwa uchangamfu wangu na maneno mengi sana ya hapa na pale.

Kuna shemeji yangu ndio alinipa hiyo fomula kuwa wanawake wanapenda sana kukaa na kumsikiliza mwanaume anayeongea sana na kuwachekesha, kwakuwa umbea ni sehemu ya maisha yao.

Kwa mantiki hiyo bwana Haji asiwekwe kwenye kundi la waongeaji ama wazungumzaji sana, labda tuseme ana Gubu.
Tena Gubu la Kizaramo haswa, ama tuseme Nongwa.
Atakuwa na maneno ya kashfa na siyo kwamba ni mwongeaji tu. Si umesikia alikuwa anasema yeye siyo Mtanzania na anatembea na passport ya nchi ya Ulaya. Sasa jiulize, alikuwa Tanzania lakini anatembea na passpoet ya nchi nyingine, si ana matatizo huyo!
 
Man, stay with a woman who doesn't need your money.

The problem of this guy is dating with broke women , dumber and mediocre

Also Marriage is business
Lakini Sasa, brother issue ni moja falsafa inayopigiwa chapuo miaka hii "no money no love",

Ata wanawake wenye fedha nao pia wanataka wanaume wenye fedha, majority ya vijana hatuna hela zile excess tunacheza kwenye food, shelter clothes(necessities )
 
Tukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila.
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.

Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo

Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji

Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu

Kumbuka miaka hiyo tunaanza la kwanza na miaka 8 hadi 10 so darasa la tano unakuwa umeshabalehe na binti anakuwa ameshavunja ungo,

Pili shule yetu ilikuwa ni moja ya shule zenye watoto wahuni sana kwa Dar ya enzi zile,bangi ilikuwa kawaida

Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.

Hapa naongelea early 90s pliz

Hapa tusihusishe rangi pliz pliz,Babu Sikare alikuwa albino ila watoto wazuri wote walimpenda kuanzia shule mpaka mitaani na aliwafaidi kweli.

Familia ya akina Possi nimewajua kitambo tu,wasichana walikuwa wanajigonga kwao mpaka mama yao anawakimbiza.

Haji ana misifa sana,kipindi tunasoma alikuwa akisema yeye sio Mtanzania kazaliwa Ulaya na kweli alikuwa na Passport ya nchi fulani ya Ulaya,siikumbuki,alikuwa akitembea nayo kila Mahali
Babu unatunza kumbukumbu Yan unakumbuka mambo ya mwaka 1985🤣
 
Back
Top Bottom