Tukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila.
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.
Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo
Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji
Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu
Kumbuka miaka hiyo tunaanza la kwanza na miaka 8 hadi 10 so darasa la tano unakuwa umeshabalehe na binti anakuwa ameshavunja ungo,
Pili shule yetu ilikuwa ni moja ya shule zenye watoto wahuni sana kwa Dar ya enzi zile,bangi ilikuwa kawaida
Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.
Hapa naongelea early 90s pliz
Hapa tusihusishe rangi pliz pliz,Babu Sikare alikuwa albino ila watoto wazuri wote walimpenda kuanzia shule mpaka mitaani na aliwafaidi kweli.
Familia ya akina Possi nimewajua kitambo tu,wasichana walikuwa wanajigonga kwao mpaka mama yao anawakimbiza.
Haji ana misifa sana,kipindi tunasoma alikuwa akisema yeye sio Mtanzania kazaliwa Ulaya na kweli alikuwa na Passport ya nchi fulani ya Ulaya,siikumbuki,alikuwa akitembea nayo kila Mahali
Kaka LIKUD nakuheshimu embu niache kwanza kakaYes Haji sio mtanzania. Amezaliwa Amsterdam, Uholanzi.
Kuhusu uwezo darasani hapanaTukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila.
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.
Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo
Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji
Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu
Kumbuka miaka hiyo tunaanza la kwanza na miaka 8 hadi 10 so darasa la tano unakuwa umeshabalehe na binti anakuwa ameshavunja ungo,
Pili shule yetu ilikuwa ni moja ya shule zenye watoto wahuni sana kwa Dar ya enzi zile,bangi ilikuwa kawaida
Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.
Hapa naongelea early 90s pliz
Hapa tusihusishe rangi pliz pliz,Babu Sikare alikuwa albino ila watoto wazuri wote walimpenda kuanzia shule mpaka mitaani na aliwafaidi kweli.
Familia ya akina Possi nimewajua kitambo tu,wasichana walikuwa wanajigonga kwao mpaka mama yao anawakimbiza.
Haji ana misifa sana,kipindi tunasoma alikuwa akisema yeye sio Mtanzania kazaliwa Ulaya na kweli alikuwa na Passport ya nchi fulani ya Ulaya,siikumbuki,alikuwa akitembea nayo kila Mahali
SidhanMitandao ndio inamuharibia.atafute mke wa kawaida mvumilivu .amuweke mbali na mitandao
JazbaWanawake wanapenda sana umbea, ukiwa muongeaji utawakata sana kila uchwao.
Nipo kikazi mkoa fulani hapa, nimempata mdada anamiliki duka lake na yuko poa haswa kwa uchangamfu wangu na maneno mengi sana ya hapa na pale.
Kuna shemeji yangu ndio alinipa hiyo fomula kuwa wanawake wanapenda sana kukaa na kumsikiliza mwanaume anayeongea sana na kuwachekesha, kwakuwa umbea ni sehemu ya maisha yao.
Kwa mantiki hiyo bwana Haji asiwekwe kwenye kundi la waongeaji ama wazungumzaji sana, labda tuseme ana Gubu.
Tena Gubu la Kizaramo haswa, ama tuseme Nongwa.
Nakupinga bana sio wote, na pia siku hizi Mambo yamegeuka hata wanaume na wao wanaangalia pochi Kwa mwanamkethey only care for money.
Nimeongelea kwa primary,hata mi nilikuwa na akili zamani sijui ziliendaga wapi,hapomnazi mmoja niliwahi kuwanamba2 kati yawanafunzi 400+Sidhan
Kwani ana wake zake kipindi cha analogia
Huyu jamaa mkorofi mi nakwambia
Ana jaziba na hana sustahimilvu
Sasa Wii hapa unataka tugombane au unigombanishe na kaka?😃Kwahiyo kaka yako vipi sasa? 😹
Mana naye ana mdomo haji anasubiri au ndo funika kombe… wifi 🤣
Huyu mke wa said wa buswelu Mwanza aliyepigwa risasi saba, na misidi Koo 42 mbona alimuacha mme wake akaenda na ex wake aliyemuacha kisa hana hela , mbona Tena alimuacha said akaenda club na huyo asiye na hela.If a woman told you that she had 'no feelings for you,' she was lying. Women don't have any feelings, they only care for money.
She left you because you were broke, not because of any non existent feelings.
Haji aachane na MAKINIKIAAcheni hizo bandugu, Kuna mstari mwembamba baina ya utani na dhihaka!
Hajji achana na hawa mabinti mtandao! Mrudie Moja ya wanawake wako wa zamani, ishi maisha ya kawaida! Achana na mitandao! Utavunjiwa heshima!
After all una ilm (maarifa) ya dini! Ni muda Sasa kurudi nyumbani mdogo mdogo!
Ila now days anawapukuchua kisawa sawa
Age mate wangu mkuu na possibly nakufahamu kwa maelezo yako.Kabisaaa mi sio mtoto ila nilianza la kwanza na miaka 5 haji alianza na 9
Nimekaa Mahali napiga kisungura changu ,huku nikisubiria jibu la mwambaHuyu mke wa said wa buswelu Mwanza aliyepigwa risasi saba, na misidi Koo 42 mbona alimuacha mme wake akaenda na ex wake aliyemuacha kisa hana hela , mbona Tena alimuacha said akaenda club na huyo asiye na hela.
Hapa inakuwaje chief, mbona bill gates, Jeff benzos, kaka, Elon musk akaachwa na mke , hapo inakuwaje please fafanua