Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,837
- 17,496
Akijibu Kama vipi unishtue , hajawahi ona mwanamke unampa hela anaenda kumpa msela asiye na hela,Nimekaa Mahali napiga kisungura changu ,huku nikidubiria jibu la mwamba
Akijibu Kama vipi unishtue , hajawahi ona mwanamke unampa hela anaenda kumpa msela asiye na hela,Nimekaa Mahali napiga kisungura changu ,huku nikidubiria jibu la mwamba
Usijali piga visungura 2 na wewe nalipa chapAkijibu Kama vipi unishtue , hajawahi ona mwanamke unampa hela anaenda kumpa msela asiye na hela,
Mie natumia maziwa na nishakunywa kitambo sanaUsijali piga visungura 2 na wewe nalipa chap
Hesabu kupata F ndio huna akili?!Haji Manara hapo Chimala alifaulu na Amemaliza Form 5 na 6 Mzumbe,pia ana degree ya Mass CommunicationKuhusu uwezo darasani hapana
Nakumbuka nimesoma shule aliyosoma Chomala sekondari….alikua vidato viwili mbele yangu.
Chimala sekondari ni shule ya jumuiya ya wazazi ya CCM ,huwa wanapelekwa vijana wa watu wa chama ambao waneshindikana kiakili,yaani kama wanaenda kukudump liwalo na liwe siku ziende.
Hakua na uwezo hata kidogo,hesabu alipata F….overall alipata division 4.
Unakunywa maziwa halafu ndama anywe Nini?Mie natumia maziwa na nishakunywa kitambo sana
Mkuu Umenikumbusha mbali.. Sana Enzi Za Saidi Mihogo baharia..Mihogo Chachandu kali, pembeni kuna Juice Ukwaju.. Barafu la kuvunja... Wakati huo wajanja wana enda kula canteen ya DIT.Tukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila.
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.
Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo
Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji
Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu
Kumbuka miaka hiyo tunaanza la kwanza na miaka 8 hadi 10 so darasa la tano unakuwa umeshabalehe na binti anakuwa ameshavunja ungo,
Pili shule yetu ilikuwa ni moja ya shule zenye watoto wahuni sana kwa Dar ya enzi zile,bangi ilikuwa kawaida
Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.
Hapa naongelea early 90s pliz
Hapa tusihusishe rangi pliz pliz,Babu Sikare alikuwa albino ila watoto wazuri wote walimpenda kuanzia shule mpaka mitaani na aliwafaidi kweli.
Familia ya akina Possi nimewajua kitambo tu,wasichana walikuwa wanajigonga kwao mpaka mama yao anawakimbiza.
Haji ana misifa sana,kipindi tunasoma alikuwa akisema yeye sio Mtanzania kazaliwa Ulaya na kweli alikuwa na Passport ya nchi fulani ya Ulaya,siikumbuki,alikuwa akitembea nayo kila Mahali
Ila kwa kujifanya kitoto cha afu mbili hajambo 😁We Jamaa kumbe ni Age goo! Heshima yako ndugu
Mtasa alikuwa anachapa fimbo hatari muhaya yule,Mtolela alikuja 1993 nadhani baada ya Chalila kustaafu,Saidi Mihogo baharia yule sijui yuko wapiMkuu Umenikumbusha mbali.. Sana Enzi Za Saidi Mihogo baharia..Mihogo Chachandu kali, pembeni kuna Juice Ukwaju.. Barafu la kuvunja... Wakati huo wajanja wana enda kula canteen ya DIT.
Wakati huo Mnazi Mmoja P/S bado kuna dampo... Enzi za Mwalimu Mutasa Wapi Mtolela, Kimiro Azizi...na Ntamturano... Bila Kumsahau Madam Massawe.. Mchaga mmoja huyo ana churaa kilo mia...
Sahihi,atafute house wife,mwanamke asiyejihusisha na na mitandaoWakuu kuna mahala mnaukwepa ukweli. Pamoja na mapungufu yote aliyoyataja mtoa uzi ya brother Haji kujisifu sifu, ila kuna kosa lingine anaganya kwa kulirudia rudia, ANAOA MALAYA. Wanawake wote anaoaaoa ni mapaka ya mjini yanamtumia kwa manufaa yanayojua yenyewe. Kwani nani hakujua kama hio ndoa haitakua muda? Kwanini watu wajue hivyo? Kwa sababu ya mwanamke aliyemuoa plus hizo tabia za blaza hakuna ndoa. Nisa wa na yule mchezaji aliyetoa mahali ya mooo, ni swala la muda tu.
Tunagawana Naye ama tunammalizia chakula chake, hata juisi za matunda za kusaga za asili natumia ama zinaleta nziUnakunywa maziwa halafu ndama anywe Nini?
Mwanaume hafai kuongea sana, anafaa kuongea tu pale inapobidi kufanya hivyo.Kweli, wanawake ndio huongea sana!
That’s my point brother. Haji anadandia hawa wadada wa mitandao. Kama kweli anataka kuoa, atafute binti wa rika, na asipende kumhusisha na mambo yake ya mitandaoni. Afanye biashara zake na mitandao, mke akirudi nyumbani akute mke wa nyumbani. Sio hao wa mara mapicha ya kwenye jakuzi, jau sanaSahihi,atafute house wife,mwanamke asiyejihusisha na na mitandao
Janabi amekataza Mambo ya juice 🥤 kasema zinaleta kisukari, na kuongezeka Kwa uzito.Tunagawana Naye ama tunammalizia chakula chake, hata juisi za matunda za kusaga za asili natumia ama zinaleta nzi
Kabisa,nadhani hata famulia yake itamshauri hivyo kama kweli wanampendaThat’s my point brother. Haji anadandia hawa wadada wa mitandao. Kama kweli anataka kuoa, atafute binti wa rika, na asipende kumhusisha na mambo yake ya mitandaoni. Afanye biashara zake na mitandao, mke akirudi nyumbani akute mke wa nyumbani. Sio hao wa mara mapicha ya kwenye jakuzi, jau sana