Vitoto vya afu mbili vitajua mtu alitaka kuandika mnyororo kakosea 😁Dah hilineno lina zaidi ya miaka 30😁.bishororo🙌
Atamuonea tu, wema hana mdomo inatakiwa amuoe MangeNamshauri Haji amuoe Wema ili wamalizie uzee
Ananibizana,mipasho na mwanamke!Mwanaume hafai kuongea sana, anafaa kuongea tu pale inapobidi kufanya hivyo.
Nakaziahaji manara anatabia za kike sana hivo si rahisi hao wanawake kumuelewa.
nisawa isivyowezekana wanaume shabab kumuelewa juma lokole sijui mwijaku hao nimfano wa wanaume wa ajabu sana.
Nimemkumbuka Babu Sikare...Albino FulaniTukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila.
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.
Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo
Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji
Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu
Kumbuka miaka hiyo tunaanza la kwanza na miaka 8 hadi 10 so darasa la tano unakuwa umeshabalehe na binti anakuwa ameshavunja ungo,
Pili shule yetu ilikuwa ni moja ya shule zenye watoto wahuni sana kwa Dar ya enzi zile,bangi ilikuwa kawaida
Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.
Hapa naongelea early 90s pliz
Hapa tusihusishe rangi pliz pliz,Babu Sikare alikuwa albino ila watoto wazuri wote walimpenda kuanzia shule mpaka mitaani na aliwafaidi kweli.
Familia ya akina Possi nimewajua kitambo tu,wasichana walikuwa wanajigonga kwao mpaka mama yao anawakimbiza.
Haji ana misifa sana,kipindi tunasoma alikuwa akisema yeye sio Mtanzania kazaliwa Ulaya na kweli alikuwa na Passport ya nchi fulani ya Ulaya,siikumbuki,alikuwa akitembea nayo kila Mahali
Kuna jamaa alitujuza huyu mwanamke wa kuoa atampata Namtumbo...afike pale Center kuna msikiti amtafute Imamu...atapata msaada wa mke wa kumaliza nae utu uzima kwa staha.....lakini vinginevyo.........Trust me, wanawake wengi wanamhukumu kwa rangi yake, unamuona hv alivyo sasa ni kutokana ana jina tayari ndo mana anatoka na hao wanawake maarufu ila angekuwa kapuku kama sisi wengine ndo ungeona uhalisia namna anavyokataliwa na wanawake kisa rangi yake au angepata wanawake wa kawaida sana wa mtaani ila sio hao watu maarufu.
😥😥Ananibizana,mipasho na mwanamke!
Natafuta Ajira komasavaa thread zenu zinamponza Manara nyie si ndo mnasemaga tuoe wasichana between 18-26 angalau Sasa Manara huwa anaoa wa umri huo lakini ngoma ni nzitoKuna jamaa alitujuza huyu mwanamke wa kuoa atampata Namtumbo...afike pale Center kuna msikiti amtafute Imamu...atapata msaada wa mke wa kumaliza nae utu uzima kwa staha.....lakini vinginevyo.........
Wema haendani na hizo mbanga, Uzungu na uswahili! Atakuwa analia ndani kila siku.Namshauri Haji amuoe Wema ili wamalizie uzee
Daah Kuna Dogo mmoja bana alisema mzaramo anapenda kunyonywa Mix by Yas na wanawake zake.Tukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila.
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.
Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo
Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji
Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu
Kumbuka miaka hiyo tunaanza la kwanza na miaka 8 hadi 10 so darasa la tano unakuwa umeshabalehe na binti anakuwa ameshavunja ungo,
Pili shule yetu ilikuwa ni moja ya shule zenye watoto wahuni sana kwa Dar ya enzi zile,bangi ilikuwa kawaida
Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.
Hapa naongelea early 90s pliz
Hapa tusihusishe rangi pliz pliz,Babu Sikare alikuwa albino ila watoto wazuri wote walimpenda kuanzia shule mpaka mitaani na aliwafaidi kweli.
Familia ya akina Possi nimewajua kitambo tu,wasichana walikuwa wanajigonga kwao mpaka mama yao anawakimbiza.
Haji ana misifa sana,kipindi tunasoma alikuwa akisema yeye sio Mtanzania kazaliwa Ulaya na kweli alikuwa na Passport ya nchi fulani ya Ulaya,siikumbuki,alikuwa akitembea nayo kila Mahali
Unalikumbuka mkuu? Zama zetu tunaitana bishoo, bishororo 🤣🤣Dah hilineno lina zaidi ya miaka 30😁.bishororo🙌
Jamaa zetu kuoa na kuacha ni sunna..Jamaa kila baada ya miaka 2 au 3 anavuta chombo kipya ndani...
Njomba kibuje nitakataa mpaka mniuwe kuwa ni mholanzi kaka .Kwa mujibu wa katiba ya Uholanzi ukizaliwa huko automatically unakuwa raia