Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

Tukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila.
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.

Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo

Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji

Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu

Kumbuka miaka hiyo tunaanza la kwanza na miaka 8 hadi 10 so darasa la tano unakuwa umeshabalehe na binti anakuwa ameshavunja ungo,

Pili shule yetu ilikuwa ni moja ya shule zenye watoto wahuni sana kwa Dar ya enzi zile,bangi ilikuwa kawaida

Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.

Hapa naongelea early 90s pliz

Hapa tusihusishe rangi pliz pliz,Babu Sikare alikuwa albino ila watoto wazuri wote walimpenda kuanzia shule mpaka mitaani na aliwafaidi kweli.

Familia ya akina Possi nimewajua kitambo tu,wasichana walikuwa wanajigonga kwao mpaka mama yao anawakimbiza.

Haji ana misifa sana,kipindi tunasoma alikuwa akisema yeye sio Mtanzania kazaliwa Ulaya na kweli alikuwa na Passport ya nchi fulani ya Ulaya,siikumbuki,alikuwa akitembea nayo kila Mahali
Baharia Saidi alikua anatuhudumia hata sisi washona viatu pale nje.

Hivi aliwahi uza juice tofauti na ile ya ukwaju?😅😅😅
 
Baharia Saidi alikua anatuhudumia hata sisi washona viatu pale nje.

Hivi aliwahi uza juice tofauti na ile ya ukwaju?😅😅😅
Hapana,mi kipindi chote nilijunywa ya ukwaju tu,kumbe unamkumbuka huyu mwamba,,atakuwa amezeeka sasa
 
Trust me, wanawake wengi wanamhukumu kwa rangi yake, unamuona hv alivyo sasa ni kutokana ana jina tayari ndo mana anatoka na hao wanawake maarufu ila angekuwa kapuku kama sisi wengine ndo ungeona uhalisia namna anavyokataliwa na wanawake kisa rangi yake au angepata wanawake wa kawaida sana wa mtaani ila sio hao watu maarufu.
Hakika
 
Hapana,mi kipindi chote nilijunywa ya ukwaju tu,kumbe unamkumbuka huyu mwamba,,atakuwa amezeeka sasa
Yeah namkumbuka sana aisee, atakua Mzee sana sasa hivi, maana kama sisi tuko hivi yeye atakuaje unadhani... Na atakae rithi mikoba yake pale hatoweza kutumia jina tofauti na hilo kwa maana hilo jina limekomaa hadi limeota mizizi 😅😅.
 
Man, stay with a woman who doesn't need your money.

The problem of this guy is dating with broke women , dumber and mediocre

Also Marriage is business
He dates with broken women because some of them are cheaper to get as they follow money/popularity once they are popular then shiit comes against him
 
Ata Huyu alikua mdogo chief mimi nimeanza nia miaka 13🤣darasa ya kwanza inshort nilikua na mavuz kwa mbali
Ndio maana maticha walikua wanawabonda haswa, miaka 13 uanze kumfundisha a,e,i,o,u kwa upole na upendo hawezi elewa 😂😂
 
Tatizo lipo kwenye tabia zake,
Kuhusu ulemavu wake hawezi kukosa mwanamke wa kumpenda.
Hatakiwi kuhukumiwa kwa rangi yake sababu hilo lipo nje ya uwezo wake.
Jamani wanawake mnatuchanganya nyie....mnasema mnataka pesa tabia mtarekebishana . Leo imekuwa tabia tena ...ebu kwenye vikao vgenu amueni moja mnakuwa vigeu geu kama sie wanaume,leo tako kesho titi keshokutwa paja
 
Jamani wanawake mnatuchanganya nyie....mnasema mnataka pesa tabia mtarekebishana . Leo imekuwa tabia tena ...ebu kwenye vikao vgenu amueni moja mnakuwa vigeu geu kama sie wanaume,leo tako kesho titi keshokutwa paja
Manara hana tabia njema wala pesa hana ndio maana havumiliwi.
 
Back
Top Bottom