Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

Tukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila.
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.

Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo

Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji

Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu

Kumbuka miaka hiyo tunaanza la kwanza na miaka 8 hadi 10 so darasa la tano unakuwa umeshabalehe na binti anakuwa ameshavunja ungo,

Pili shule yetu ilikuwa ni moja ya shule zenye watoto wahuni sana kwa Dar ya enzi zile,bangi ilikuwa kawaida

Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.

Hapa naongelea early 90s pliz

Hapa tusihusishe rangi pliz pliz,Babu Sikare alikuwa albino ila watoto wazuri wote walimpenda kuanzia shule mpaka mitaani na aliwafaidi kweli.

Familia ya akina Possi nimewajua kitambo tu,wasichana walikuwa wanajigonga kwao mpaka mama yao anawakimbiza.

Haji ana misifa sana,kipindi tunasoma alikuwa akisema yeye sio Mtanzania kazaliwa Ulaya na kweli alikuwa na Passport ya nchi fulani ya Ulaya,siikumbuki,alikuwa akitembea nayo kila Mahali
Nimependa uandishi wako.. 😄
 
Naona mtashangaa kua hio ni kiki 😀 😀 😀 maana majuzi niliona online kua akina Haji na mkewe wamekua nominated kwenye couple bora barani Afrika. Kingine ni kweli Haji ni mzaliwa wa Holland aka The Netherlands, alizaliwa huko wakati baba yake Sunday Manara akicheza mpira wa kulipwa kwenye timu ya Hercules ya Uholanzi kwahio lazima atakua na passport ya Uholanzi, ndio maana kuingia Europe anapeta tu tena kwenye nchi za Schengen anatereza tu.
Kiki za hivyo bora nife masikini
 
Hakuna aliyeongelea ngozi, lnina narafiki albinos wengi,babu Sikare,nilisoma nae Dakawa,Wale akina Possi nimecheza nao utotoni na walikuwa na magirlfriend tena warembo no dramas
Haji ana misifa sana.alikuwa anatutambia kuwa sio mtanzania,kazaliwa ulaya😃
Miaka ya 1990's haji manara ameshamaliza form four, primary alikuwa miaka ya 1980s
Labda kama ulihadisiwa
 
Tukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila.
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.

Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo

Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.Nukajikuta niko karibu na Haji

Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji

Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu

Kumbuka miaka hiyo tunaanza la kwanza na miaka 8 hadi 10 so darasa la tano unakuwa umeshabalehe na binti anakuwa ameshavunja ungo,

Pili shule yetu ilikuwa ni moja ya shule zenye watoto wahuni sana kwa Dar ya enzi zile,bangi pamoja na kuanza mapenzi shuleni ilikuwa kawaida

Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.

Hapa naongelea MId 80s to early 90s tuelewane.

Hapa tusihusishe rangi pliz pliz,Babu Sikare almaarufu kama Albino Fulani,msanii wa Hip Hop,alikuwa albino ila watoto wazuri wote walimpenda kuanzia shule mpaka mitaani na aliwafaidi kweli.

Familia ya akina Possi wamekulia Tabata magengeni nimewajua kitambo tu,wasichana walikuwa wanajigonga kwao mpaka mama yao anawakimbiza.

Haji ana misifa sana,kipindi tunasoma alikuwa akisema yeye sio Mtanzania kazaliwa Ulaya na kweli alikuwa na Passport ya nchi fulani ya Ulaya,siikumbuki,alikuwa akitembea nayo kila Mahali
Age Mate....Haji nilikuwa napiga nae Mazoezi Yanga Kids Jangwani.....1988 na 89...
 
Uliyo nieleza yote ni rubbish kwangu zinatakiwa kuweka kwenye dustbin sioni sababu ya kujibishana na wewe Mr. Sarcastic.

Mwanaume kuongea Sana umekua mwijaku,manara,juma lokole, baba levo,doto magari.
Wanaume wa ukweli sio ma lopolopo weka akilini hilo bwana mdogo.

Waliopitia kozi za ulinzi na usalama Kuna SOMO LA KUKAA KIMYA hiyo ni course kabisa unafundishwa kukaa kimya naona bwana wewe ungefail course.

Kule
Mtafundishwa ku mastering the art of being silent, even when there's a lot to be said.

Usikariri

Nina watoto kumi mpaka sasa

We endelea kukariri

Na kuna mapacha watatu wapo njiani wanakuja
 
Back
Top Bottom