Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

Wanawake wanapenda sana umbea, ukiwa muongeaji utawakata sana kila uchwao.
Nipo kikazi mkoa fulani hapa, nimempata mdada anamiliki duka lake na yuko poa haswa kwa uchangamfu wangu na maneno mengi sana ya hapa na pale.

Kuna shemeji yangu ndio alinipa hiyo fomula kuwa wanawake wanapenda sana kukaa na kumsikiliza mwanaume anayeongea sana na kuwachekesha, kwakuwa umbea ni sehemu ya maisha yao.

Kwa mantiki hiyo bwana Haji asiwekwe kwenye kundi la waongeaji ama wazungumzaji sana, labda tuseme ana Gubu.
Tena Gubu la Kizaramo haswa, ama tuseme Nongwa.

Gubu na unyanyasaji, dhereu ndio shida yake
 
Haji kwa yale matusi aliyo nayo mwanamke gani atavumilia tabia ya hivyo kwanza amekuwa akitukana watu mitandaoni akiguswa yeye anakimbilia rangi yake kuwa anabaguliwa alafu sasa huyu jamaa anajiona kama kijana kumbe age go unabishana na vitot vya genZ mitandaoni mitusi mingi basi tu jamaa sizani kama huwaga anafikiria ilo
Au hizo drama ndizo zinampa ulaji?. Maana ukiona mtu kang'ang'ana na Jambo basi yamkini kuna Jambo nyuma yake!
 
Watoto wa primary mlikuwa mnatongoza na kula mademu???
Zamani ilikuwa ndio michongo.
.midada mikubwa kubwa ipo primary ziwa hili hapa kiuno dondola, kile kiharufu Cha kubalehe unakisikia.

Hapo ukijicheko wewe mdogo mdogo.

Mimi nimemqliza la saba na mabroo Wana ndevu kabjsa wanavyoa.
 
Zamani ilikuwa ndio michongo.
.midada mikubwa kubwa ipo primary ziwa hili hapa kiuno dondola, kile kiharufu Cha kubalehe unakisikia.

Hapo ukijicheko wewe mdogo mdogo.

Mimi nimemqliza la saba na mabroo Wana ndevu kabjsa wanavyoa.
😂Sisi darasa letu mkubwa alikuwa na miaka 24, enzi hizo Za UPE na MEMKWA kulikuwa kuna Yale madarasa yanayotengwa kwa ajili ya walemavu wenye mtindi wa ubongo waliochelewa kuanza shule alafu na watu wazima, waliochelewa

Picha linaanza, kwenye kundi langu mimi Nina miaka 20,waliobaki above age🤣
 
Zamani ilikuwa ndio michongo.
.midada mikubwa kubwa ipo primary ziwa hili hapa kiuno dondola, kile kiharufu Cha kubalehe unakisikia.

Hapo ukijicheko wewe mdogo mdogo.

Mimi nimemqliza la saba na mabroo Wana ndevu kabjsa wanavyoa.
Kabisa yaani zamani kuanza la kwanza na miaka kumi kawaida sana
 
Naona mtashangaa kua hio ni kiki 😀 😀 😀 maana majuzi niliona online kua akina Haji na mkewe wamekua nominated kwenye couple bora barani Afrika. Kingine ni kweli Haji ni mzaliwa wa Holland aka The Netherlands, alizaliwa huko wakati baba yake Sunday Manara akicheza mpira wa kulipwa kwenye timu ya Hercules ya Uholanzi kwahio lazima atakua na passport ya Uholanzi, ndio maana kuingia Europe anapeta tu tena kwenye nchi za Schengen anatereza tu.
 
Trust me, wanawake wengi wanamhukumu kwa rangi yake, unamuona hv alivyo sasa ni kutokana ana jina tayari ndo mana anatoka na hao wanawake maarufu ila angekuwa kapuku kama sisi wengine ndo ungeona uhalisia namna anavyokataliwa na wanawake kisa rangi yake au angepata wanawake wa kawaida sana wa mtaani ila sio hao watu maarufu.
Yes wanambagua jamaa sema umaarufu tu unamsaidia
 
Back
Top Bottom