Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

Ulipogusia kwenye kusema yeye sio mtanzania ndiyo nimejua na kukubali kuwa kweli unamjua .

Haji amewahi kuwa mwalimu wangu ila akipenda sana enzi hizo kusema yeye sio mtanzania na pia tukakutana kwenye chama fulani akiwa naye ni mwanachama ila kiongozi wa ngazi fulani nako hakusita kuendelea kutuchimba biti za kitoto .

Ila itoshe kusema Manara ana kimavi fulani kinachotokana na kamdomo kake .

Ukimuona mwambie katogori anamsalimia sana anitafute
Hahaha
 
That’s my point brother. Haji anadandia hawa wadada wa mitandao. Kama kweli anataka kuoa, atafute binti wa rika, na asipende kumhusisha na mambo yake ya mitandaoni. Afanye biashara zake na mitandao, mke akirudi nyumbani akute mke wa nyumbani. Sio hao wa mara mapicha ya kwenye jakuzi, jau sana
Hivi unawajua wanawake wa majumbani wa siku hizi weye? Na wenyewe wanapita na watu wa mtaani vile vile, mafundi, bodaboda end ze laiki Mzee.
Mambo ngoma droo
 
Hivi unawajua wanawake wa majumbani wa siku hizi weye? Na wenyewe wanapita na watu wa mtaani vile vile, mafundi, bodaboda end ze laiki Mzee.
Mambo ngoma droo
Naelewa mkuu, ila hao unaowasemea ni wanawake wa uswazi. Haji anamaisha ya kishua. Getini ndani, mazaga yote yapo ndani, mke haendi hata sokoni. Haji ana dereva, hivyo hata mitoko ya mkewe ni rahisi kui monita, naamini hata home kwake kuna camera. Japo anaweza gongewa pamoja na hayo yote, ila ataishi maisha ya ndoa kama wanaume wengine kwa kuwa na changamoto za kawaida, sio kwa hizi zake za ndoa ya nusu mwaka, na kuachana kwa kudharirishana
 
Better home girls kuliko hao social elites
Hivi unawajua wanawake wa majumbani wa siku hizi weye? Na wenyewe wanapita na watu wa mtaani vile vile, mafundi, bodaboda end ze laiki Mzee.
Mambo ngoma droo
[/QUOTE
 
1744314601569.jpg
1744314601569.jpg
 
Back
Top Bottom