Ata Huyu alikua mdogo chief mimi nimeanza nia miaka 13🤣darasa ya kwanza inshort nilikua na mavuz kwa mbaliMtu darasa la kwanza anaanza na miaka 9 kufika la 6 si keshabalehe huyo.
Ata Huyu alikua mdogo chief mimi nimeanza nia miaka 13🤣darasa ya kwanza inshort nilikua na mavuz kwa mbaliMtu darasa la kwanza anaanza na miaka 9 kufika la 6 si keshabalehe huyo.
Atakuwa wa 1979 kasema Manara kaanza shule na 9 years hapo ni 1984,we dogo kumbe umri mdogo kabisa alafu unaleta zarau majukwani meku
Kwahiyo kaka yako vipi sasa? 😹📌📌📌Sahihi kabisa...
Mwanaume anayeongea sana anaboa.
Huo ndio ukweli,yaani haji ni mwanangu ila hakui,eti unamchamba mwanamke kuwa wakati nakuoa hukuwa hata na namba ya Nida😃😃😃Kwa tabia zake ni ngumu sana kupendwa na mademu, wanawake hawapendi mtu anaeongea sana alafu anaependa kujipendekeza kwa wanaume wenzake hasa wakiwa na nafasi flan, Be a man acha kuongea sana na usipende kujipendekeza kwa watu pambana kivyako.
Na siyo mademu tu hata sisi wana tunakutaa vilevile maana hatupendi masnitch leo unakua rafiki yangu kesho tukikwaruzana basi siri zangu zote unaziweka hadharani huwezi kuwa rafiki yangu ndo maana hata Eng Hersi wa Yanga anamkataa sana japo mwamba hachoki kujipendekeza.
Haji aache tabia za kipumbavu hizi ni dalili za anguko lake kama hatabadilika atafika hatua atakua ni kituko kwa kila mtu, hawa wanawake anaowapata inawezekana anatumia ushawishi tu wa pesa ila kiuhalisia ndani ya mioyo yao hakuna mapenzi kuna target flan tu wanazilenga zikitimia wanamkataa.
Hata cheti cha kuzaliwa sina, process ni ndefu sana mpk tufikie passport..!! 😹Namba ya Nida unayo lakini
Ilikuwa kawaida sana zamani,mi nilianza mdogo sababu nilikuwa mrefu na nilikuwa na akili,sijui akili ziliendaga wapi,na mama mdogo alikuwa mwalimu alitumia ushawishi kuniandikishaAta Huyu alikua mdogo chief mimi nimeanza nia miaka 13🤣darasa ya kwanza inshort nilikua na mavuz kwa mbali
Shikamoo bamdogoShule ya msingi early 90s ameenda age? Kumbe we ni toto flani tu?
So now akili huna siyoIlikuwa kawaida sana zamani,mi nilianza mdogo sababu nilikuwa mrefu na nilikuwa na akili,sijui akili ziliendaga wapi,na mama mdogo alikuwa mwalimu alitumia ushawishi kuniandikisha
Reducing a woman’s worth to how much money she has is not just ignorant, it’s pathetic. Some of the strongest, smartest, and most loyal women don’t come with a price tag. If all you see is a wallet, then maybe you’re the one bringing nothing to the table but your ego.Man, stay with a woman who doesn't need your money.
The problem of this guy is dating with broke women , dumber and mediocre
Also Marriage is business