Tangu tumepata uhuru Patrobas Katambi ndio waziri wa hovyo kupata kutokea

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Maamuzi yake ni hovyo hovyo ambayo kama mtu ana akili timamu hawezi kuyatoa.Mfano hili suala la vitambulisho vya Nida ni maamuzi ya hovyo kanisa.

Nasema hivi sababu mpaka sasa kuna Watanzania wengi ambao hawana vitambulisho vya Nida kisa tu wamezaliwa kwenye mikoa ambayo inapakana na nchi za jirani kama Kenya au Uganda lakini ni Watanzania na wameishi na kukulia Tanzania lakini kila siku maafisa wa uhamiaji waliopo ofisi za nida wanawasumbua.

Kundi la hawa watu litapata vipi huduma ya nyumba za kulala wageni?
 
Hivi nyie mnajua uwaziri ulivyokuwa mtamu nyie?
Sio kwa ubaya ila hata mimi ningekuwa kama Katambi au zaidi yake kufurahisha maboss.
 
Itawabidi wenye gesti zibadilishwe kuwa nyumba za kupangishwa.
 
Maamuzi yake ni hovyo hovyo ambayo kama mtu ana akili timamu hawezi kuyatoa.Mfano hili suala la vitambulisho vya Nida ni maamuzi ya hovyo kanisa.

Nasema hivi sababu mpaka sasa kuna Watanzania wengi ambao hawana vitambulisho vya Nida kisa tu wamezaliwa kwenye mikoa ambayo inapakana na nchi za jirani kama Kenya au Uganda lakini ni Watanzania na wameishi na kukulia Tanzania lakini kila siku maafisa wa uhamiaji waliopo ofisi za nida wanawasumbua.

Kundi la hawa watu litapata vipi huduma ya nyumba za kulala wageni?
Nitafutie mwenye unafuu kuanzia kule juu kama yupo.
 
MafamNchii yetu tunashida ya viongozi

Kundi la hawa watu litapata vipi huduma ya nyumba za kulala wagenmbogam
 
Back
Top Bottom