Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Nitafutie mwenye unafuu kuanzia kule juu kama yupo.Maamuzi yake ni hovyo hovyo ambayo kama mtu ana akili timamu hawezi kuyatoa.Mfano hili suala la vitambulisho vya Nida ni maamuzi ya hovyo kanisa.
Nasema hivi sababu mpaka sasa kuna Watanzania wengi ambao hawana vitambulisho vya Nida kisa tu wamezaliwa kwenye mikoa ambayo inapakana na nchi za jirani kama Kenya au Uganda lakini ni Watanzania na wameishi na kukulia Tanzania lakini kila siku maafisa wa uhamiaji waliopo ofisi za nida wanawasumbua.
Kundi la hawa watu litapata vipi huduma ya nyumba za kulala wageni?
MafamNchii yetu tunashida ya viongoziMaamuzi yake ni hovyo hovyo ambayo kama mtu ana akili timamu hawezi kuyatoa.Mfano hili suala la vitambulisho vya Nida ni maamuzi ya hovyo kanisa.
Nasema hivi sababu mpaka sasa kuna Watanzania wengi ambao hawana vitambulisho vya Nida kisa tu wamezaliwa kwenye mikoa ambayo inapakana na nchi za jirani kama Kenya au Uganda lakini ni Watanzania na wameishi na kukulia Tanzania lakini kila siku maafisa wa uhamiaji waliopo ofisi za nida wanawasumbua.
Kundi la hawa watu litapata vipi huduma ya nyumba za kulala wageni?
Maamuzi yake ni hovyo hovyo ambayo kama mtu ana akili timamu hawezi kuyatoa.Mfano hili suala la vitambulisho vya Nida ni maamuzi ya hovyo kanisa.
Nasema hivi sababu mpaka sasa kuna Watanzania wengi ambao hawana vitambulisho vya Nida kisa tu wamezaliwa kwenye mikoa ambayo inapakana na nchi za jirani kama Kenya au Uganda lakini ni Watanzania na wameishi na kukulia Tanzania lakini kila siku maafisa wa uhamiaji waliopo ofisi za nida wanawasumbua.
Kundi la hawa watu litapata vipi huduma ya nyumba za kulala wagenmbogam
Ana degree ya sheria SAUT.Waziri asiyejua hata sheria ya personal data protection act 2022