Tangu tupate Uhuru, leo hii Taifa letu limefika pabaya. Waliopewa madaraka kulinda na kutetea rasilimali za umma ndio wanatuibia na kuteteana

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Ibara ya 27 ya Katiba ya JMTinatamka wazi kabisa kuwa kila kuwa kila mtu ana wajibu wa kulinda rasilimali za umma.

Lakini tofauti na hilo kila kona ufisadi umetamalaki. Tunadokezwa kuwa kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia Tanesco wahusika wanajulikana ila ndio hivyo wanabebana na kukindana.

Kama walioviongozi wanalindana na Kuvunja katiba kuibia taifa letu tutafika salama?
 
wakati yule joka anakwapua fedha za umma ikiwamo trilioni 1.5 aliyotuambia CAG ASSAD mlikaa kimya kwa kwa mlikuwa wanufaika, takati anaiba fedha za plea bargain mlikaa kimya. Wahuni wakabila nyie hampo objective.
 
Serikali ya CCM hii
 
Haka kawimbo katamu sana kukaimba huku unafakamia mirost.
 
Ibara ya 27 ya Katiba ya JMTinatamka wazi kabisa kuwa kila kuwa kila mtu ana wajibu wa kulinda rasilimali za umma.
Patamu hapo, kama Serikali itadondokea kuwa Rasilimali ya Umma-Tuna wajibu wa kuilinda. Naami hakuna Katiba yeyote ile Duniani inayodai kinyume chake...
Lakini tofauti na hilo kila kona ufisadi umetamalaki. Tunadokezwa kuwa kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia Tanesco wahusika wanajulikana ila ndio hivyo wanabebana na kukindana.
Tanesco inahujumiwa kimkakati? ili ije iuzwe vipande vipande....subirini wale watakaoajiriwa bila ya mchakato wa tume za uajiri katika mashirika ya kiserikali kukamilika-nina wasiwasi kuna watu wamepewa sikio? halafu wakadanganya.?
Kama walioviongozi wanalindana na Kuvunja katiba kuibia taifa letu tutafika salama?

...au Katiba hiyohiyo ibara hiyohiyo ya 27 inawalazimu kufanya hivyo?

Chagua kwa umakini 2025 hakuna jinsi
 
Back
Top Bottom